Hali ni tete sana, nini kifanyike?

Mimba za bahati mbaya zote ni watoto wa kike, ukiongezea na wale wa mipango ndio inakuwa balaa zaidi.

Watoto wa kike ni wengi zaidi ya wale wa kiume, tazama hata mitaani wanapocheza utaiona tofauti.
 
Mimba za bahati mbaya zote ni watoto wa kike, ukiongezea na wale wa mipango ndio inakuwa balaa zaidi.

Watoto wa kike ni wengi zaidi ya wale wa kiume, tazama hata mitaani wanapocheza utaiona tofauti.
Hahahah watoto wa nyege mshindo.

Mtu ukipangilia kuzaa, huyo wa kiume anapatikana. Ila hizo chovya chovya ndio kupata wakike.
 
Yaani huyu Kama vile hajui ama haelewi. Utadhani akiwa anafuga ng'ombe atapendelea awe na madume mengi kuliko majike,ukijibu Ilo swali na je Mungu unadhani Hana akili na alisema kuwa tuzaliane na huko kaweka utamu tuvutiwe lengo lake Ni kuzalina na wewe lengo lako Ni kupata utamu.
Mwanaume mmoja anaweza akazalisha wanawake Mia moja na wakazaa mpaka kizazi Chao chote mayai yakaisha tumboni. Na je wanaume wapo Mia na jike ,hapo kweli unaona Ina come mtu wangu. Usihoji Mambo mengine ya asili yameumbwa ivyo sema wewe utatengeneza sababu ili uonekane kuwa u na akili mno ,Ni sawa watu wanavyoelezeaga why magnet attracts iron. Hii huwezi elezea imeumbwa ivyo na aliyeumba ana Mana yake.

Jiulize why utamu upo kwenye sex chimba literature uje hapa na sababu Mana hichi kiumbe binadamu kinapenda kuhoji kutafuta why ambayo smt yanampeleka pabaya
Nature ndio ipo hivyo kwa viumbe hai wote, mimea na wanyama. Dume mmoja kwa wanawake wengi. Lakini pia kuna study zinaendelea, inasemekana Y chromosome ina mutate na inakosa nguvu so X inazidi kutawala.
U
 
Kama kuna dem kakosa mume anipe namba yake nitakua na kipindi cha maombi kwa mmoja mmoja
Hata kama ningekuwa nina Dada nisingeruhusu umchezee kwa njia hiyo 🤪
 
Siku zote wanawake wamekuwa na idadi kubwa, sema tu kwenye mambo ya shule hawakuwa kipaumbele kwa miaka hiyo…. sioni tatizo lolote.
 
Asee mwenyewe Hadi Leo Nina wakike tu tu Kila nikipiga vp nafyatua wakike ...Mungu atusaidie .
Pendelea sana kula karoti, karanga, korosho na almond na mbegu za maboga. Kula hii kitu kwa wingi sana. Siku moja utatuletea mrejeshoz😂😴
 
Hiyo ni indicator mbaya. Tunampenda mtoto wa kike ila Taifa lenye nguvu kinajengwa na wanaume. End
 
Pendelea sana kula karoti, karanga, korosho na almond na mbegu za maboga. Kula hii kitu kwa wingi sana. Siku moja utatuletea mrejeshoz[emoji23][emoji42]
Asantee mkuu naanza hiiyo Dozi ..mana Nina warembo tu ila hawana mlinzi asee.
 
Na kwenye idadi hiyohiyo ndogo kuna mashoga, mahanisi, kimoja chali na watawa hivyo unakuta marijali tupo wachache sana.
Aisee tuendelee kula hizi pisi
 
Unashauri nini?
 
Kuna mtafiti mmoja alisema ukitaka wa kiume achana na mambo ya kumwandaa mwanamke. We ukifika piga kama kuku sekunde kumi mshindo wenye Yx chromosomes huooooo. Sasa we endelea na kutomasatomasa kama unatafuta parachichi la kula Leo utakuta zenye nguvu zinaishia kwenye mashuka.
 
Takwimu zinaonesha kati ya watoto 100 wanaozaliwa kwa siku 60 pekee ndio wa kiume, vilevile vifo kwa watoto chini ya miaka 5 watoto wa kiume wanafariki sana kuliko wa kike.
Tunaomba chanzo cha hii takwimu. Pia kama ni hivi, basi wanaume wanapaswa kuwa wengi kuliko wanawake, i.e. 60% watoto wa kiume na 40% watoto wa kike.
 
Hapa mtaani kwetu kuna mama mmoja anao wa kiume tupu 4 ,, hapa sijui hii imekaaje maana naye anaomba Mungu apate angalau wa kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…