Hali ni tete sana, nini kifanyike?

Hakuna tatizo lolote ni ukusanyaji wako wa takwimu ndio mbovu. Huwezi kwenda Oysterbay Dar ukaona hali ya makazi ya watu pale halafu uka generalize kwamba Dar yote hali ipo hivyo. Fanya utafiti vizuri zaidi.
 
Kwa mjibu wa Sensa ,wanawake wanawazidi wanaume kwa idadi ya 1.5M tu
Kulikuwa hilo ulilolisema? Umakini ulikuwa mdogo sana sana.
Ilikuwa ni kulipana posho na kununua vishikwambi bora ijilikane tulifanya kazi hiyo.
Mfano : Hawakuweza kutofaitosha shule za serikali na binafsi kikata, kiwilaya, kimkoa hadi Taifa bali walisema mkoa una shule 125 kwa mfano.
 
Mbona iyo ni takwimu ya kidunia haitaji kushangaa wanawake ni wengi KULIKO WANAUME
 
Nipe the same data kwa engineering..!!
 
Sio kweli nenda kijijini sanasana huku kanda ya ziwa form 1 huwa wanaandikishwa kwa 50% wasichana na wavulana 50%, wakifika form 2 wasichana 48% na wavulana 52% na ikifika form 4 unakuta wasichana 25% na wavulana 75%
 
Chanjo za ajabu ajabu zimezidi sana.
Inabidi tutafakari upya, sio kila vaccine ina manufaa/lengo kusudiwa kwa wanetu.
Bara giza hili na bado tutaumizwa sana tu...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…