Hali ninayokutana nayo katika Biashara inatisha nimefunga biashara 3 nimebakiza moja inayopumulia mipira, Msaada wa kiroho unahitajika

Ndoto ya kupakwa kinyesi maana yake umelogwa. Omba sana. Kuna mahali au mtu aliona mafanikio yako kafanya jambo. Au wewe mwenyewe kuna kitu ulifanya. Back track ujue ni nini lakin pia Muombe Mungu
 
Mungu tu ndiye atakayekusaidia kutoka kwenye kanisa lako unalosali.
Nenda kanisani. Ita watumishi waje kukuombea. Toa sadaka.
 
Ni zipi hizo???
 
Ukisoma haimaanishi unaacha asili mimi ni mwafrica ambae najua asili yangu kusoma haimaanishi kunafanya nisijue asili yangu na mababu zangu, hata hao wasomi unaowajua ww wanashiriki ibada ya kiganga maana ni jadi yetu waafrika
Uganga na imani za kishirikiana ni ujinga na upumbavu
 
Kama walivyo matajiri wengi wakipata hela wananza dharau...umachinga ulikupa pesa lakini ukaona hauna maana. Si ajabu ulianza kuwadharau hata wamachinga.

Kuna ile unasema hivi nyie machinga mtafanya umachinga mpaka lini mbona mimi nimeanza mwaka jana na leo nimeshafungua maduka matatu nyie mna miaka zaidi ya kumi mko pale pale?😄😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…