James Hadley
Member
- Nov 5, 2021
- 36
- 29
NO APPROVED ALLOCATIONS BREAKDOWN AVAILABLE FOR S.0000.20CADEMIC YEAR 2023/2024
Hapa HESLB wanamaanisha nini wana jamvi?
Au kitu kizito?
Hapa HESLB wanamaanisha nini wana jamvi?
Au kitu kizito?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imebadilika saiviNO APPROVED ALLOCATIONS BREAKDOWN AVAILABLE FOR S.0000.20CADEMIC YEAR 2023/2024
Hapa HESLB wanamaanisha nini wana jamvi?
Au kitu kizito?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaza kote kote, ubongo na shipa pia.Kawaida yng , Ila huwa naanza na mchuz wa pweza nawakaza kisawsaw [emoji3]
Don't mind, nmekuelewa ulichomaanisha
Duuh polee sana mdogo angu, usijar utapata tyuuhMimi mwenyewe mpaka hapa napozungumza bado niko nyumbani sina direction
umesahau kitu......Mama samia ingilia kati ,vijana wanateseka sana bado hali nitete
i feel ure pain .pole sana mdogo angu .nina imani utapata mama samia hawezi watupaMimi mwenyewe mpaka hapa napozungumza bado niko nyumbani sina direction
noted chief,mamlaka zinaona .madogo wanateseka sana na hii bodiPesa zinatolewa ila Kuna mtu anakata juu. Bora wamrudishe Ndalichako aisee... Hii sector aliiweza sana watoto walisoma.
Ati?NO APPROVED ALLOCATIONS BREAKDOWN AVAILABLE FOR S.0000.20CADEMIC YEAR 2023/2024
Hapa HESLB wanamaanisha nini wana jamvi?
Au kitu kizito?
umepata mkopo chief ,hpo jipongeze .endelea ku refresh account utaona kiasiiImebadilika
mama ni mwelevu sana mfano ishu za ajira kule utumishi psrs watu wanapata ajira kwa haki kabisa na amepinguza majobless kitaa.umesahau kitu.
Huyo unayetaka aingilie ndo anasemwa na serikali nzima kuwa hutoa fedha kila sekta.
Kama unaona hakuna fungu huko ujue amegoma kutoa hela.
Iombeni serikali labda rais ameishiwa hela🤣
Ila kwenye sekta ya elimu , kwa wale wa form 6 2017 kurud nyuma nadhani wanaikumbukua shughul ya mh Ndalichako ilikua ni tabu mixer majonz kiaina ...binafc ndio kilichonifanya nichelewe kwenda chuo mpk Leo hii [emoji3] ctaman kukumbuka kwakweliPesa zinatolewa ila Kuna mtu anakata juu. Bora wamrudishe Ndalichako aisee... Hii sector aliiweza sana watoto walisoma.
Dah hpo mkopo hakuna ndugu kwahyo statementNO APPROVED ALLOCATIONS BREAKDOWN AVAILABLE FOR S.0000.20CADEMIC YEAR 2023/2024
Hapa HESLB wanamaanisha nini wana jamvi?
Au kitu kizito?
Watumishi wa Afya wa kujitolea alitoa agizo wathibitishwe kazini lakini mpaka kesho hakuna kinachoendelea na ajira zinatoka wanapewa wajomba zaomama ni mwelevu sana mfano ishu za ajira kule utumishi psrs watu wanapata ajira kwa haki kabisa na amepinguza majobless kitaa.
hii taasis aimulike upya inatesa sana vijana
Pmj [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaza kote kote, ubongo na shipa pia.
chief ukiona sipa jua umepata mkopo,mtu ambae hajawa allocated hana sipa kabisa. later on sio muda ataona exact amountDah hpo mkopo hakuna ndugu kwahyo statement
Anhaa, OK inawezekana lkn sikuwa najua hilo maana sina uzoefu nalo mkuu, ni kweli anaweza kupatachief ukiona sipa jua umepata mkopo,mtu ambae hajawa allocated hana sipa kabisa. later on sio muda ataona exact amount
hakika kabisa mkuu, shukrraniHongera sana
ubarikiwe pia kuwapigania wengine, kifupi hali ni mbaya sana bila tamko lolote vijana wengi watakosa fursa ya kusoma mwaka huu
Shukrani sana mkuu kwa kuai feel ure pain .pole sana mdogo angu .nina imani utapata mama samia hawezi watupa
Ahsante sana mkuu ,mungu atajalia wepesi katika hili ,ameni feel ure pain .pole sana mdogo angu .nina imani utapata mama samia hawezi watupa
wajitahidi kufanya usahili utumishi psrs watatusua chief 100% coz ndio ndio wenye mamlaka ya ajira za kudumu.Watumishi wa Afya wa kujitolea alitoa agizo wathibitishwe kazini lakini mpaka kesho hakuna kinachoendelea na ajira zinatoka wanapewa wajomba zao
Ahsante sana naimani litakua sawa ,MwenyeziDuuh polee sana mdogo angu, usijar utapata tyuuh
HakikaAhsante sana naimani litakua sawa ,Mwenyezi
yu pamoja nasi