Hali si shwari Bodi ya Mikopo (HESLB)

Hali si shwari Bodi ya Mikopo (HESLB)

Kawaida yng , Ila huwa naanza na mchuz wa pweza nawakaza kisawsaw [emoji3]

Don't mind, nmekuelewa ulichomaanisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaza kote kote, ubongo na shipa pia.
 
umesahau kitu.

Huyo unayetaka aingilie ndo anasemwa na serikali nzima kuwa hutoa fedha kila sekta.

Kama unaona hakuna fungu huko ujue amegoma kutoa hela.

Iombeni serikali labda rais ameishiwa hela🤣
mama ni mwelevu sana mfano ishu za ajira kule utumishi psrs watu wanapata ajira kwa haki kabisa na amepinguza majobless kitaa.

hii taasis aimulike upya inatesa sana vijana
 
Pesa zinatolewa ila Kuna mtu anakata juu. Bora wamrudishe Ndalichako aisee... Hii sector aliiweza sana watoto walisoma.
Ila kwenye sekta ya elimu , kwa wale wa form 6 2017 kurud nyuma nadhani wanaikumbukua shughul ya mh Ndalichako ilikua ni tabu mixer majonz kiaina ...binafc ndio kilichonifanya nichelewe kwenda chuo mpk Leo hii [emoji3] ctaman kukumbuka kwakweli
 
mama ni mwelevu sana mfano ishu za ajira kule utumishi psrs watu wanapata ajira kwa haki kabisa na amepinguza majobless kitaa.

hii taasis aimulike upya inatesa sana vijana
Watumishi wa Afya wa kujitolea alitoa agizo wathibitishwe kazini lakini mpaka kesho hakuna kinachoendelea na ajira zinatoka wanapewa wajomba zao
 
Hongera sana

ubarikiwe pia kuwapigania wengine, kifupi hali ni mbaya sana bila tamko lolote vijana wengi watakosa fursa ya kusoma mwaka huu
hakika kabisa mkuu, shukrrani
i feel ure pain .pole sana mdogo angu .nina imani utapata mama samia hawezi watupa
Shukrani sana mkuu kwa kua
i feel ure pain .pole sana mdogo angu .nina imani utapata mama samia hawezi watupa
Ahsante sana mkuu ,mungu atajalia wepesi katika hili ,amen
 
Watumishi wa Afya wa kujitolea alitoa agizo wathibitishwe kazini lakini mpaka kesho hakuna kinachoendelea na ajira zinatoka wanapewa wajomba zao
wajitahidi kufanya usahili utumishi psrs watatusua chief 100% coz ndio ndio wenye mamlaka ya ajira za kudumu.

otherwise wasisite kuomba nafasi za afya zinazotangazwa na wizara ya afya na tamisemi
 
Back
Top Bottom