1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Halafu huko ndiko kwenye upinzani mkubwa wa kimya kimya!!Mwenyekiti wa CCM Taifa anatokea,Mkoa wa Geita Kanda ya ziwa, jirani na mkoa wa Geita ni mkoa wa kagera anatokea katibu mkuu wa chama, Kanda ya ziwa. Katibu mwenezi anatokea mkoa wa Mara ,Kanda ya ziwa.mnategemea ccm iko salama?
Sijachangia kitu,pesa zinaliwa hovyo kama mali mtu binafsi.Mpaka sasa umechangia kiasi gani?
Ndio maana aliowafundisha hawaaajiriki !!!
Atajuaje nani kampigia nani?Katibu Mkuu wa CCM Ndg Bashiru Ally Kakurwa amekemea vikali tabia za baadhi ya wanachama wa CCM wanaopanga kukisaliti Chama katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu kwa maslahi yao binafsi. Ameahidi kuwachukulia hatua kali watakaobainika kusaliti Chama ikiwemo kuwafukuza Uanachama.
Maoni ya Kada wa CCM.
Hivi kweli MTU unapoteza muda waako kwenda kumpa kura waitara so ushoga huo na upumbavu?Wamewalazimishia wagombea wasiowataka, shinyanga walimtaka masele wakampa makarai ili akaseme ndio bungeni. Leo makarai na waitara wamesusiwa kampeni na maccm wenzao wamesema watawapa wapinzani sababu maamuzi yao ayakuheshimiwa.
Atoboi kule uzuri vituo vya polisi Ni vya kuhesabu kule havizidi hata vitatu ataibaje kwa mfano,pia wakurya upiga doria kwa mapanga kulinda kura,sijui ataishije bila ubunge, kampeni zake kasusiwa na maccm wenzake.Hivi kweli MTU unapoteza muda waako kwenda kumpa kura waitara so ushoga huo na upumbavu?
Ukonga kakimbia hajafanya lolote
umenena mkuu. kuna watu tena watymishi wanasema sisi tutachagua upande unaoonewaSiyo hayo tu, kuna watu hawajaathiriwa moja kwa moja na mfumo mbovu wa uongozi wa magu lakini roho zao zipo upinzani, hata kama hujaguswa ile kuona wapinzani wananyanyaswa na kupewa kesi za kubambikiwa, Mpinzani mmoja amenusurika kuuawa kwa risasi nyingi na uchunguzi haujafanyika hadi leo, kuona watu wakifilisiwa kwa sababu ambazo ni petty ambapo zingetumika njia zisizo na madhara kumuadhibu mhusika (Manji) badala ya kuharibu biashara zake zilizotoa ajira za maelfu ya watu, kuona Rais akiisigina katiba kwa miaka mitano mfululizo, kuona Rais amejigeuza mungu-mtu kila mtu anamwabudu, kuona kuna sehemu zikididimizwa kimaendeleo na zingine zikipendelewa, na madudu mengine mengi, haya mambo yamechosha watu lazima sote tuwe upinzani.
WaTz tuache ubinafsi tujifunze kupaza sauti na kufanya maamuzi kwaajili ya wengine, kwa yanayoendelea nchini haihitaji uathiriwe moja kwa moja ndipo uone upinzani ni mbadala. Yanayoendelea ni machafu tuyapinge kwa nguvu zote hata kama unajiona uko safe kwa sasa.
Tuwachague wapinzani ili tuwadai katiba mpya ambayo itatumika kuwaondoa na wao wakiharibu. Hakuna chama kinachotakiwa kujiona kina hati miliki ya kuiongoza nchi hii pekeyao, CCM hawawezi kutupa katiba mpya kwasababu hawajawahi kuiahidi, Shime watanzania.
Wapenzi na wanachama wa Simba walipong’oa viti club ya simba iliwajibika pamoja na kulipa gharama haikuwafukuza uanachama Kakurwa sijui anajiamini nini.
Yuda asingemsaliti Yesu, Yesu asingepata nafasi ya kukamilisha dhumuni lake la kuja duniani. Hawa wasaliti wasingekuwepo wasingemsaidia mbeba maono kutuvusha kutoka kwenye makucha ya mkoloni CCM.Wasaliti huwepo kila chama Yesu mwenyewe mitume wake kulikuwepo msaliti Yuda Iskariote .Issue si.kuwepo wasaliti issue ni kuwadhibiti
Hai wa CCM tuachie Ni saizi yetuu. Tutapeleka kilio Kwao tunawalia timing
Mbinguni kwa Mungu pia kulikuwa na msaliti Shetani na malaika wale ambao walidhibitiwa na kuvurumshwa mbinguni nao walikuwa wakikamilisha dhumuni gani?Yuda asingemsaliti Yesu, Yesu asingepata nafasi ya kukamilisha dhumuni lake la kuja duniani. Hawa wasaliti wasingekuwepo wasingemsaidia mbeba maono kutuvusha kutoka kwenye makucha ya mkoloni CCM.
Ccm walikuja na kamsemo kuwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi jina mataga lilitokana na nini?
Muuza ndizi bwanaMzee wa jalalani
Kuna wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna.Au huyu hapa