Umewasahau wanafunzi na makato ya 15%.Unawatishia wanachama? Waliotia Nia kugombea ccm na kukosa kura au kukatwa majina yao 100% wapo upinzani. Watumishi wa Umma wako upinzani 100% watumishi wa umma walio tia Nia kugombea na kukatwa mishahara yao,kutolipiwa madeni ya bank na kuwachangia uchaguzi fedha zaidi ya milion moja kila mjumbe wako upinzani 100% vyeti feki wako upinzani 100% wafanyabiashara wako upinzani 100% waliokuwa na maduka yakubadilishia fedha wako upinzani 100% walio hitimu vyuo wako upinzani 100% wakulima na wafugaji usiseme. Tafuteni suluhu na haya makundi mkitaka chama kiwe salama. Hali sio shwari.
Ukiona hadi cheche zinaanza kuonekana kwa nje huko ndani moto ni mkubwa sana.CCM Kyela nadhani ndio kumezidi kuwa na hali mbaya
CCM wamebadilisha maana ya USALITI kabisa:Upinzani ulishakufa2015, kilichobaki ni futuhi.
Kifo cha Benjamin mkapa ni pengo kubwa sana kwa CCM
Unaonekana wewe sio kamanda, ukiwa na vita lazima kujua mbinu za adui wako, nguvu na udhaifu wake.Hayo ni ya kwao Ccm na kila mwaka huwa kuna makundi ndani ya Ccm. Sisi kama Chadema tungejikita kujua hatima ya chama chetu. Hakina hela ya uchaguzi na wagombea wanahali mbaya.
Huku wewe mwenyewe ukijipanga kushinda vita. Sasa ukijua udhaifu wa adui huku huna uwezo wa kushinda inasaidia nini?Unaonekana wewe sio kamanda, ukiwa na vita lazima kujua mbinu za adui wako, nguvu na udhaifu wake.
Kweli mtu ukiwa CCM akili zinahama kabisa, hivi Bashiru wa CCM na Bashiru mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakikutana si zitapigwa usiku kucha? Hivi ameshasahau kuwa itikadi ya chama ni imani, inakuwaje awalazimishe watu imani ambayo wameshaikataa?Ingependeza zaidi wajikite kushughulikia sababu zinazowafanya wasaliti.
Ni ujinga wa kisiasa kuvizia Ccm wafarakane ili Chadema ishinde kawe.Kama kuna Wanachama wa CCM ambao nina 'uhakika' kuwa wataongeza 'Hasira' zao za 'Kukisaliti' Chama kwa 'Biti' hili la Dkt. Bashiru ni wa Kawe.