Uchaguzi 2020 Hali si shwari ndani ya CCM, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Bashiru Ally amekemea vikali baadhi ya wanachama wanaopanga kukisaliti chama

Uchaguzi 2020 Hali si shwari ndani ya CCM, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Bashiru Ally amekemea vikali baadhi ya wanachama wanaopanga kukisaliti chama

Mwenyekiti wa CCM Taifa anatokea,Mkoa wa Geita Kanda ya ziwa, jirani na mkoa wa Geita ni mkoa wa kagera anatokea katibu mkuu wa chama, Kanda ya ziwa. Katibu mwenezi anatokea mkoa wa Mara ,Kanda ya ziwa.mnategemea ccm iko salama?
Polepole siyo mdengereko?
 
Hii aina nguvu, huwezi kuweka watu sehemu muhimu usio wafahamu kisa tu unepuka ukanda. Kassim Majaliwa, Kabudi, Kitila, Mwigulu nao ni wakanda ya ziwa?

Hata Baba na Mwasisi wa CCM na Nji hii hakuwahi kufanya ujinga kama huo.....even Mwinyi, Mkapa na Kiwete hawajafanya guo upuuzi...It's only in this reign of terror....!!!
 
Kakurwa upandacho ndicho uvunacho.
Tuliwakaribisha wapinzani ndani ya chama na kuwapa vyeo,kama kina kina Kitila Mkumbo.
Sasa watu wanaona heri wachague tu watu wawapendao, kukishabikia chama kibinafsi hakulipi.
kwani yeye mwenyeji
 
Hata Baba na Mwasisi wa CCM na Nji hii hakuwahi kufanya ujinga kama huo.....even Mwinyi, Mkapa na Kiwete hawajafanya guo upuuzi...It's only in this reign of terror....!!!
Acheni hizo Magufuli ana mapungufu yake lakini mna exaggerate mambo sana. Yaani PM amtoe kusini bado umuite mkanda? Watanzania!
 
Mfano
Shinyanga .unamwacha Masele mwenye kura 158 unamchukua katambi mwenye kura 12.
Momba unamchukua Silinde mwenye kura 112 unamwacha mshindi mwenye kura 288
Babati unamchukua Gekuli mwenye kura 7 unamwacha mshindi mwenye kura 179.Kisa Gekuli ni chakula cha katibu mkuu
Majimbo ni mengi waliyofanya upendeleo .
Unasema? Chakula cha nani? Mkuu unazidi kutupia petrol kwenye moto, watasaliti kwa hasira
 
Naona huku kuna joto kali sana ndani ya CCM mwenyekiti wa ccm mkoa wa kagera anapokea maaigizo kutoka juu kuwa awaadhibu wasaliti walioko ndani ya chama pia bashiru anataka apewe orodha ya wasaliti mara moja.
Hivi wewe kwa jinsi magufuli alivyowatukana wahaya kwenye tetemeko na jinsi alivyowatesa kabendera na mama yake hadi mama yake akafariki kwa akili zako unategemea magufuli aungwe mkono na wahaya????

Magufuli akipata hata kura 100 za wahaya iyo October 28 a Shukuru sana Mungu!
 
Kuna hata mwenye akili hapo ya kusaidia ,zaid watazamisha jahazi zaid.
 
Mwenyekiti UVCCM
John Pombe Magufuli....Geita.
Bashiru Ally Kakurwa.......Kagera.
Humphrey Polepole..........Mara.
CDF General Mabeyo........Shinyanga.
IGP Simon Zero................. Mara.
Phillip Mpango-Fedha....... Kigoma.
Doto James Katibu Hazina/Fedha.....Geita.

Ni UKANDA, UKANDA, UKABILA, UKABILA na UNDUGU, UNDUGU.

Tukisema Jiwe anaigawa Tanzania kikanda, kikabila na Kibaguzi tuko sahihi Perce....!!!!
 
Back
Top Bottom