Tetesi: Hali si shwari SGR muda huu. Wafanyakazi wanadaiwa kuanzisha mgomo

WaTz waoga sana. Mafao ya wazee, Koroshow na hili la SGR mpo mpo tu!
 
Walisaini vipi mradi ambao mchina kakataa kuufanya kwa tril 7, watulipe kiukweli baadhi ya waturuki walikamatwa wanatorosha mamilion airport, hizo fedha wanazotorosha siwangezitumia kulipa subcontractors?.
Mkuu ujue nao wanafamilia huko kwao
 
wewe acha kusema uongo Sub Contractors wamegoma kama unabisha njoo site na mimi nipo site hakuna magari ya kuwapeleka Wafanyakazi kazini na viongozi wa Kituruki wapo kikao sasa hivi.
Site Ipi Ulipo
 
Na nyinyi mmezidi kuchezewa, mabeberu wawachezee, Kenya wawachezee na Waturuki pia??
 
Site Ipi Ulipo
Mimi nimehudum site zote kuanzia marshalling,ngerengere,soga yenywewe ilala, na hata posta ambapo hawa alperderm ndio wanafanya issue za umeme. Namagari yote ya rent yamegoma kufanya kazi leo,baadhi ya engineers,teachnicians na vibarua wameshindwa kufika site maana hakuna magari yakuwapeleka.
 
KWANI TATIZO KAMA RAIS ALISHASEMA WALIPWE INAMAANA PESA IPO KWANINI YAPI HAWALIPI WAKANDARASI?
Waulize wakulima wa korosho/wastaafu hua inawachukua muda gani kulipwa pesa zao huku mkuu akiwa amesema mapesa yako mengi tu walipweeeeeeeeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…