Tetesi: Hali si shwari SGR muda huu. Wafanyakazi wanadaiwa kuanzisha mgomo

Yatatokea mengi makubwa utawala huu na hawataweza kuyaficha yote.
Hao watakuwa wametumwa na beberu
Dawa ya deni ni kulipa tu. Jpm lipa pesa za watu
Ukisoma uzi hapo kwa umakini utaona tayari JPM alitoa maelekezo watu walipwe madeni yao,nadhani kinachofuatia ni utuambuaji tu.,
Hata korosho ilikuwa hivyo hivyo. Hapo jpm katajwa tu kumfichia aibu.
Waturuki msitake kuigombanisha CHADEMA na serikali, maana kila wakati Mambo yanapoharibika lawama hutupiwa CHADEMA na mabeberu 🐐 🐐🐐 🐐🐐 🐐🐐 🐐🐐 🐐🐐 🐐
Magu hadaiwi kwenye hili we vipi!?😠!
 
Usimwamini sn Magufuli mkuu.... Kelele zake za maagizo za majukwani ni tofauti na vitendo...... Wakandarasi hawlipwi kabisa pesa zao na ndio chanzo cha kushindwa kufanya kazi zao na kulipa wafanyakazi wao.....

Hii ni serikali ya kishetani kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…