Tetesi: Hali si shwari SGR muda huu. Wafanyakazi wanadaiwa kuanzisha mgomo

Mkuu huo unaweza kuwa si mgomo bali ni haki ya Mkandarasi kuacha kazi.
Hapo ni kama malipo yamechelewa Mkandarasi anaweza kufikia hata kujiondoa kwenye kazi .

CONDITIONS OF CONTRACT CLAUSE 63.1(b)
" If the Contractor has not received sums due to it within 28 days for payment payment provided for in Sub -Clause 43.1, the Contractor may immediately issue a 14-days , termination notice."


Tukumbuke kuwa hii extract ya Conditions of Contract ni standard ocument ya seikali.
Hivyo wakandarasi hao hawajagoma, wanatekeleza mkataba kama ulivyoandikwa.
 
Hivi beberu ana tabia Zipi special zilizofanya hasa afanNishwe na nchi za magharibi!
 
Mkuu nahata sisi tunafamilia kiongozi hawa jamaa hamna kitu kabisa heri Serikali iwanyang'anye mradi.
Mkuu hao ndo wanaweza kujenga reli hiyo kwa bei rahisi na substandard,wachina wanazingatia viwango na hivyo bei yao iko juu,Sasa wakinyanganywa hiyo tenda nani atajenga reli na ujiko wa kujenga sgr tutaupata wapi? Kuweni wazalendo msitumike na mabeberu.SGR Kwanza kula na uhai wenu baadae
 
Hapo mwisho umemalizia vizuri mkuu.
 
Tatizo ni kwa serikali, kushindwa kuwalipa pesa mapema!! Wao wafanye nini??
 
Ukisoma uzi hapo kwa umakini utaona tayari JPM alitoa maelekezo watu walipwe madeni yao,nadhani kinachofuatia ni utuambuaji tu.,
Mkuu maelekezo hayajawahi kuwa pesa,ametoa maelekezo na maagizo mangapi kwenye korosho,je watu wamelipwa pesa zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…