Kwa hiyo mlipaji wa malipo ni mtoa maagizo au mpewa maagizo ?Ambao wanatakiwa kulipa malipo hayo.
Za kuambiwa? Changanya na zako.hii ni awamu ya tanoKwa hiyo ni kweli mengine ni kwa ajili ya runinga na magazeti tu ?
Binti,kuwa seriously,watu wanajadili ya maana hapaMimi nipo site na hakuna mgomo wala dalili ya mgomo. Hivi huu umbeaumbea Chadema mtaacha lini
Zile pesa zipo kwa ajili ya kulipia wananchi wanyonge kwenye misafaraSi angefanya tu safari ya kushitukiza akaenda kulipa mwenyewe,mbona anatembeaga na maburutu ya pesa
Ni maagizo vs maigizo.Kwa hiyo mlipaji wa malipo ni mtoa maagizo au mpewa maagizo ?
Kumekucha,.
Atakua anauza nyama yakeUnauza nini hapo site?