Hali si shwari tena, ndoa na mahusiano zinazidi kuteketeza vijana .

Hali si shwari tena, ndoa na mahusiano zinazidi kuteketeza vijana .

Jack Daniel

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
4,951
Reaction score
19,766
Inasikitisha.

Vijana wanaumia,wanaumizwa mbaya zaidi hawasikilizwi, vijana wa kiume ndiyo kabisa wahanga wa hii kitu wamebaki na Vitu vingi mioyoni mwao.

Jinsia na haiba yao inazidi kuwateketeza mithili ya moto wa nyika kwenye nyasi nyingi.hawasemi popote, kwakuwa tu wameshakaririshwa uanaume si malalamiko,wanabaki na maumivu mioyoni mwao,yaani wanakufa na tai shingoni😭

Upande wa pili wa wanawake Una nafuu kiasi japo nako kuna vilio vingi na malalamiko ikionesha, Wananyanyasika na hao wanaume.

Yaani jumapili kama leo kuna mwanamke mwenye watoto wawili mpaka watatu yupo kanisa fulani anaomba apate mume,na si mume tu anataka mume Bora.
Inashangaza 🤔

Yaani ni kosa kuchagua sana kitu kinachotegemea kudra za mwenyezi MUNGU kukipata,eti mume bora.
Wewe mwenyewe ni Bora?

Sawa bahati nzuri jinsia hii wanasikilizwa sana,iwe mahakamani, Polisi au kupata msaada wowote ule hii jinsia imekuwa ni rahisi kueleweka.
Kutiatia huruma,sauti yenye kukata tamaa na machozi ya karibu hufanya watoa huduma kwenye taasisi nyingi kujikuta wanafanya namna ili tu kumnusuru kiumbe mwanamke.

IKO WAZI SANA.........................

👉Maeneo mengi makazini wamejazwa wanawake wengi wasio na utaalamu wala ujuzi wowote.

👉 Taasisi nyingi za mikopo zilijikuta zikiingia hasara Kwa kukopesha mtu Kwa kigezo cha jinsia kuliko kufuata terms kamili.

👉Maeneo mengi ya kiuongozi kwenye ngazi mbalimbali wamepachikwa watu Kwa kulipana fadhila , Uzuri na mvuto usioendana na majukumu ya nafasi husika.

👉 Dunia kiujumla inamtazama mwanamke,kama kiumbe dhaifu pamoja na kuweka 50 Kwa 50 bado ukweli unabaki palepale hii jinsia ni yenye kuhurumiwa

Ulishawahi kukuta mwizi akipigwa?
Ulishawahi kusikia utetezi baina ya mwizi mwanamke na mwizi mwanaume?

Kwenye wanaume 10 wakikamatwa Kwa wizi, Tisa huwa wanakufa bila hata ya kupewa nafasi ya kujitetea?

Mmoja tu huwa anapewa nafasi ya kujitetea huku uhakika wa kupona ukiwa nusu Kwa nusu.

But ni tofauti Kwa wezi wa jinsia KE.

Kwanza naomba ieleweke wanawake nao ni wezi Kwa kiwango kikubwa Sana tena Sana,mara ya mwisho nilishuhudia mwanamke akipigwa mpaka kufa baada ya kubainika kama ni mchomeshaji (mchomeshaji) katika chain ya wezi wa pikipiki.

Hiyo tisa niliwahi kushuhudia mwanamke mzuri ambaye alikuwa ni mchora ramani kwenye magodauni makubwa.

Lakini nilishawahi kumkuta mahakamani mwanamke ambaye kazi yake ni kujirahisisha Kwa wanaume Kwa kigezo cha kuwakubalia kila anapotongozwa kisha kuwawekea sumu wanaume wawapo lodge au guest house.

Hawa ni wanawake majambazi ambao hawana huruma hata kidogo ni afadhali ukutane jambazi la kiume.

Hapa sizungumzii wanawake vibaka matomboy wa kijichi au vingunguti,
Mwananyamala,tandale,na Maeneo mengi ya Kiswahili, naongelea wanawake wasio na huruma.

Siongelei wanawake wezi wenye tamaa za muda mfupi wanaoiba nguo au brazia supermarket na kushitukia huku wakipigwa vibao kadhaa na kuachwa huru.

Nazungumzia mwanamke asiyerudi nyuma,hafikirii mara mbili yeye ni pesa na pesa ni yeye.

Ok fine tuache hekaya za Abunuwas.

Mwanaume Acha kumlilia mwanamke wa kileo hususani mwanamke wa mjini.

Badala yake Tulia fanya maamuzi,usiingie kwenye uraibu wa vilevi ikiwa ni tiba ya kuponya majeraha na maumivu ya usaliti au kuachwa badala yake Tumia huo muda kujijenga kuliko kulilia mapenzi,kaa rada,kaa kitaalamu.

Kwanini nasema hivyo?

Vijana wengi Wana vipato vidogo mno,vya kubahatisha ,visivyo na uhakika wa maisha lakini hapohapo wanatamani ndoa na mahusiano,hapa ndipo maumivu na kesi zinapoanzia mvutano ni mkubwa

Mwanamke yeye anataka maisha fulani hata kama siyo mazuri lakini kuwe na uhakika wa kula,kuvaa ,kulipa Kodi na outing mara moja moja.

Asipopata vitu hivi hiyo ndoa au mahusiano vinageuka gereza kwake,haoni Uhuru,akizulula huku na huko anaona agemates na wanawake wenzie wanavyokula maisha,kupush gari za bei ghali,biashara kubwa kuspend pesa ndefu Kwa masaa machache,mavazi ya gharama na maisha kama hayo Kwa viwango vya na level kwenye jamii zetu.

Hapa ndipo mwanamke anapokuona si mume wala mpenzi Bali ni kikwazo kwake,anahisi Dunia iko wazi na inafikika kirahisi na wewe ni kikwazo kwake. Umemuwekea uzio mkubwa na ana uwezo wa kulibomoa hilo lango la gereza.

Wakati akiwaza hayo hutumia siku nyingi usizozijua,huku visa vya hapa na pale, pamoja na mabadiliko ya mengi unaweza kuyaona na kuyabaini lakini ,mbaya zaidi hujui yanasababishwa na nini.

Ufanisi wa kazi zake hupungua,
Mapenzi yenu hupungua,

Kitandani ndiyo kabisa utapewa Kwa kutimiziwa wajibu,na hutafaidi wala kuenjoy miguno na misisimuko,utapigishwa punyeto,na mtu ataoga kisha atalalq,hata kurudia,wala hataki kuguswa tena.

Sasa omba Mungu Hali ibaki hivyo hivyo kuliko akatokea mchizi mmoja aliyekuzidi chenji,hii Dunia utaiona kama inakuangukia.

Anyway mapenzi siyo pesa,bado haijajulikana moja Kwa moja wanawake wanataka nini, lakini ifahamike tumejiridhishwa more than 75 percent pesa inaendesha mahusiano.

Lakini kubwa zaidi niwashauri vijana wadogo pindi mkiachwa msikimbilie STAREHE yaani kuitana bro, uncle sijui Faza ili tu ununuliwe pombe hiyo ni mbaya.

Mimi Daniel huwa sina hiyana najua maisha naelewa jamii ilivyobadilika nayajua na nimeyaishi maisha magumu hivyo huwa nanunua chochote na kugawana na wadogo zangu.

Lakini kuna wanaume washenzi,mashwaini na ni washirikina hawaoni shida kukuomba ulipie gharama pombe na Nyama ulizokula,Kwanza huambiwi ila utaleweshwa Hadi ahakikishe huna uwezo wa kutembea halafu ataita mabaunsa wamsaidie upande kwenye gari lake akijifanya wewe ni ndugu yake.

Utapoteza mke,na utapoteza uanaume wako,take care
Huu ni mji watu ni wengi lakini binadamu wachache sana.

Tafuteni pesa Kwanza rudi hata shamba kajijenge Kwanza starehe zipo tu wadogo zangu

Nayoyaona kwenye sehemu za starehe yanatisha sana,kuna mabazazi hayana shida na wanawake wao wanadili na mwanamke anayependa mteremko
 
Modern relationships zimeshakuwa highly commercialized. Hakuna mapenzi ya bure mtaani siku hizi, everything has a price tag attached to it.

Kijana usipokuwa stable financially, akitokea mchizi mwenye dazi ya kueleweka, possibility ya kumwagwa asubuhi kweupe ni kubwa mno.
 
Modern relationships zimeshakuwa highly commercialized. Hakuna mapenzi ya bure mtaani siku hizi, everything has a price tag attached to it.

Kijana usipokuwa stable financially, akitokea mchizi mwenye dazi ya kueleweka, possibility ya kumwagwa asubuhi kweupe ni kubwa mno.
Nashindwa nicheke au nilie,
Inasikitisha
 
Screenshot_20260801_220008_Lite.jpg
 
Kuna msemo
"Mwanamke aliyetulia ni mwanamke asiye na chaguzi"
Yaani mwanamke akikosa wa kumtongoza, atatulia na aliyemtongoza. Na ndo concept ya kuvaa Pete inapokuja, kwamba asitongozwe ili asiwe na option zaidi ya option iliyopo. Shida ni kuwa, nani anajali hiyo Pete?

Vijana waelewe kwamba mwanamke anafuatwa, wanaomfuata ndo wanatengeneza pool of choices, sasa akiwa wako jua tu pengine kwa muda huo wewe ni best choice available ila unaweza usiwe. Ishi nae kwa akili, usipende kama kichaa ukashindwa kumove on kwenye usaliti.
 
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
ukiona mwnanamke hakupendi tambua kuna anayempenda ambaye siyo wewe.
 

Attachments

  • 3b0e267845b8b2e9924004271108003c.jpg
    3b0e267845b8b2e9924004271108003c.jpg
    28.8 KB · Views: 17
  • Screenshot_20260221-161550.jpg
    Screenshot_20260221-161550.jpg
    98.5 KB · Views: 15
Back
Top Bottom