Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Aliyetakiwa kusifiwa alipopuuzwa na kuumizwa.Usiwe na hofu. Hizo kitaalam zinaitwa expansion joints. Kama zile zilizotokea kwenye hosteli za Magufuli. Nadhani unakumbuka kilichomtokea yule dogo aliyepiga picha na kuzisambaza. ...
Una bahati hivi sasa mama anaupiga mwingi... Tungekuokota coco beach kwenye kiroba....