Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
😯😯😯
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chuki dhidi ya nani sasa?Yaani mleta maada ndiyo anatamani nyufa zitokee lakini ndiyo hivyo tena! Chuki ni kitu kibaya sana,chuki inakufanya unakua na tabia za kichawi!!
Kwani ile inaitwa upembuzi yakinifu haikufanyika? Twende hivyo hivyoWakuu, juzi kati nilipita kwa mguu kwenye daraja la Tanzanite.
Nilishtuka sana kuona kuwa daraja lina nyufa kila sehemu.
Sikuamini kama ningeweza kuvuka salama kabla daraja halijatumbukia.
Baada ya kufanya utafiti wa kina nilionelea kuwa lile daraja limejengwa eneo lenye sesmic waves (mitetemo) ya hali ya juu kitu ambacho kina athiri daraja na kulipunguzia urefu wa maisha.
Nawashauri Tanroads kuchukua hatua za haraka kwa kulifunga dampers daraja la Tanzanite ili kupunguza mitetemo ambayo inaathiri daraja hilo kwa kasi ya mwanga.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
View attachment 2382330View attachment 2382329View attachment 2382335
It's ok bro!!ukionaje kaa kimya ww bas
Alitaka tujue tu kuwa nae alipita Tanzanite bridge 😅😅😁Sasa dogo mbona umeweka mapicha ya madaraja ya nchi nyingine?.
Alafu kutembea kwako kwa miguu umeshindwa kuoiga picha sehemu zenye nyufa tuone.
Sasa kwa umbea huu angekuwepo jeshi la mtu mmoja ile adhabu ingekufaa kabisa asee!.
Sasa dogo mbona umeweka mapicha ya madaraja ya nchi nyingine?.
Alafu kutembea kwako kwa miguu umeshindwa kuoiga picha sehemu zenye nyufa tuone.
Sasa kwa umbea huu angekuwepo jeshi la mtu mmoja ile adhabu ingekufaa kabisa asee!.
Huwezi kuona nyufa kwa karibu hivyo.Rudi hatua "salasini" nyuma upande wa kushoto kwa kapani.
Wajapani wananajenga maghorofa marefu bila wasiwasi licha ya nchi yao kukabiliwa na matetemeko.Wakuu, juzi kati nilipita kwa mguu kwenye daraja la Tanzanite.
Nilishtuka sana kuona kuwa daraja lina nyufa kila sehemu.
Sikuamini kama ningeweza kuvuka salama kabla daraja halijatumbukia.
Baada ya kufanya utafiti wa kina nilionelea kuwa lile daraja limejengwa eneo lenye sesmic waves (mitetemo) ya hali ya juu kitu ambacho kina athiri daraja na kulipunguzia urefu wa maisha.
Nawashauri Tanroads kuchukua hatua za haraka kwa kulifunga dampers daraja la Tanzanite ili kupunguza mitetemo ambayo inaathiri daraja hilo kwa kasi ya mwanga.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
View attachment 2382330View attachment 2382329View attachment 2382335
Wewe dogo naomba tuonane haraka iwezekanavyo,sio ombi ni amriWakuu, juzi kati nilipita kwa mguu kwenye daraja la Tanzanite.
Nilishtuka sana kuona kuwa daraja lina nyufa kila sehemu.
Sikuamini kama ningeweza kuvuka salama kabla daraja halijatumbukia.
Baada ya kufanya utafiti wa kina nilionelea kuwa lile daraja limejengwa eneo lenye sesmic waves (mitetemo) ya hali ya juu kitu ambacho kina athiri daraja na kulipunguzia urefu wa maisha.
Nawashauri Tanroads kuchukua hatua za haraka kwa kulifunga dampers daraja la Tanzanite ili kupunguza mitetemo ambayo inaathiri daraja hilo kwa kasi ya mwanga.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
View attachment 2382330View attachment 2382329View attachment 2382335
Tukutane darajani...Wewe dogo naomba tuonane haraka iwezekanavyo,sio ombi ni amri
Kwanza picha zenyewe sio za dalaja la Tanzanite.Sioni nyufa mbona
Huo upotoshaji sasaKwanza picha zenyewe sio za dalaja la Tanzanite.