Hali tete daraja la Tanzanite. Nashauri hili lifanyike

Kwani ile inaitwa upembuzi yakinifu haikufanyika? Twende hivyo hivyo
 
Hizo picha haziusiani na daraja la tanzanite.. Tazama hii apa chiniπŸ‘‡πŸ‘‡
 
Sasa dogo mbona umeweka mapicha ya madaraja ya nchi nyingine?.

Alafu kutembea kwako kwa miguu umeshindwa kuoiga picha sehemu zenye nyufa tuone.

Sasa kwa umbea huu angekuwepo jeshi la mtu mmoja ile adhabu ingekufaa kabisa asee!.
Alitaka tujue tu kuwa nae alipita Tanzanite bridge πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜
 
Sasa dogo mbona umeweka mapicha ya madaraja ya nchi nyingine?.

Alafu kutembea kwako kwa miguu umeshindwa kuoiga picha sehemu zenye nyufa tuone.

Sasa kwa umbea huu angekuwepo jeshi la mtu mmoja ile adhabu ingekufaa kabisa asee!.

Kweli google search ina sema

https://dreamcivil.com β€Ί seismic-da...
6 Types, Advantages & Disadvantages of Seismic Damper

1200 Γ— 672 β€” Seismic Dampers can be defined as a mechanical device that dissipates the kinetic energy of seismic waves passing through the building or other structures.


Source: Seismic Dampers : 6 Types, Advantages & Disadvantages of Seismic Damper
 
we jamaaa ulikua unataka kugundua nini huko chini baharini? watu mna hatari sana nyie , mbona pia sijaona hizo nyufa jamani
 
Wajapani wananajenga maghorofa marefu bila wasiwasi licha ya nchi yao kukabiliwa na matetemeko.
 
Wewe dogo naomba tuonane haraka iwezekanavyo,sio ombi ni amri
 
Yule jamaa aliyekuwa analala na mafaili anahusika na ubadhirifu kwenye miradi ya miundombinu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…