Tetesi: Hali tete Tanzania: Baraza la Maaskofu laandaa Waraka Mzito wa X-Mass

Waraka wa maaskofu utahusu ushoga?Kama huu waraka wa EU?
peleka ushoga wako lumumba kama unaliwa ni wewe pekeyako.. umikazana USHOGA USHOGA.. unazani wote humu ni mashoga kama wewe mbwiga
 
UWONGO
 
Hao hawawezi hao. Wao wenzao Bakwata ru.
 
Atamtuma musiba (wa taifa) afanye press conference au akauibe huo waraka[emoji23]
 
Sasa wakishatoa waraka inasaidia nini? Kama huna inside info basi fuatilia kiini cha kubadilishwa kwa katibu mkuu wq baraza la Maaskofu.
Ukiona hausaidii basi ujue haujatolewa kwa ajili yako, walengwa wanauelewa na wanapagawa vilivyo, sio lazima kila kitu kikuhusu
 
Sasa hivi waisilamu na wakristo tumeungana dhidi ya hawa waswezi walioivamia Ikulu.
 
Kwani ushamuona tena Madhabauni?jana kaomba awe anaitwa kuzindua Misikiti
Mkuu, sio lazima nimmwone kama ni misa ya kawaida, anaenda tu bila kutangazwa. Ikiwa Siku Kuu au kaalikwa kama Mgeni Rasmi ndo hutangazwa.
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mshahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…