Acheni hivi vitisho vyenu sasa vyaweza kumpasua mtu moyoNaunga mkono busara kutumika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni hivi vitisho vyenu sasa vyaweza kumpasua mtu moyoNaunga mkono busara kutumika
Kama mnakumbuka mnamo mwezi Machine 2018 Baraza la Maaskofu pamoja na Maaskofu wa KKKT walitoa waraka mzito wa Pasaka kukemea hali tete nchini Tanzania
Tetesi zinaonyesha kwamba Baraza la maaskofu limekuwa likikutana kutathmini kama serikali imefanyia kazi maoni yao.
Baada ya hali halisi kuonyesha serikali imeshindwa kufanyia kazi maoni yao mazuri na malalamiko ya wananchi,baraza limeandaa waraka mwingine mzito kuelekea Xmas na Mwaka Mpya. Waraka unasemwa kujikita katika mambo makuu matatu,ikiwemo haki za binadamu,hali ya kisiasa na amani
WATAZUNGUMZIA KUWA SERIKALI IKUBALI USHOGA????Kama mnakumbuka mnamo mwezi Machine 2018 Baraza la Maaskofu pamoja na Maaskofu wa KKKT walitoa waraka mzito wa Pasaka kukemea hali tete nchini Tanzania
Tetesi zinaonyesha kwamba Baraza la maaskofu limekuwa likikutana kutathmini kama serikali imefanyia kazi maoni yao.
Baada ya hali halisi kuonyesha serikali imeshindwa kufanyia kazi maoni yao mazuri na malalamiko ya wananchi,baraza limeandaa waraka mwingine mzito kuelekea Xmas na Mwaka Mpya. Waraka unasemwa kujikita katika mambo makuu matatu,ikiwemo haki za binadamu,hali ya kisiasa na amani
TENA AENDELEE KUKAZA UZIMababa Askofu tunawaomba mababa zetu msimame na sisi wananchi, hali ngumu baba zetu, tunaumia, tunanyanyasika, tusaidieni kumueleza ukweli huyu mzee wetu.
Najua amejitahidi kuwawekeni karibu ili kuwalainisha, amejitahidi kuwaiteni ili mkutane naye mara kadhaa, amejaribu kuwaiteni ili mshiriki uzinduzi wa Stiegle's , yote hii ili mlainike lakini nyinyi mkilainika sisi Twafa.
Mababa Askofu msituangushe, Ubaya haushindwi kwa kishindo kimoja, bali endeleeni kusukuma na kusukuma mpaka ubaya ushindwe.
Mababa askofu, simameni na wanyonge wa nchi hii.
Sisi hatutaki kile ambacho hawezi kutupa, sisi tunataka
1. Uhuru wa kujieleza waziwazi bila hofu ya kupotezwa
2. Tunataka haki za kisiasa kama zilivyoainishwa katika katiba na sheria ya vyama
3. Tunataka uwazi katika utendaji wa shughuli za serikali
4. Tunataka Demokrasia kwa mujibu wa katiba
5. Tunataka ulinzi na usalama wetu hatutaki watu kutekwatekwa
6. Tunataka haki katika chaguzi na si uonevu wa wakurugenzi na watangaza matokeo
7. Tunataka katiba mpya kama vile sisi kama Taifa tumeshakubaliana kuwa hii ya sasa haitutoshelezi
Hayo yangu ni machache tu mababa askofu. Tafadhali sana nawaombeni myasimamie hayo
Sema baraza la kkt na lowassa sio baraza la maaskofu.Kama mnakumbuka mnamo mwezi Machine 2018 Baraza la Maaskofu pamoja na Maaskofu wa KKKT walitoa waraka mzito wa Pasaka kukemea hali tete nchini Tanzania
Tetesi zinaonyesha kwamba Baraza la maaskofu limekuwa likikutana kutathmini kama serikali imefanyia kazi maoni yao.
Baada ya hali halisi kuonyesha serikali imeshindwa kufanyia kazi maoni yao mazuri na malalamiko ya wananchi,baraza limeandaa waraka mwingine mzito kuelekea Xmas na Mwaka Mpya. Waraka unasemwa kujikita katika mambo makuu matatu,ikiwemo haki za binadamu,hali ya kisiasa na amani
Kumbe ni tetesi!!Kama mnakumbuka mnamo mwezi Machine 2018 Baraza la Maaskofu pamoja na Maaskofu wa KKKT walitoa waraka mzito wa Pasaka kukemea hali tete nchini Tanzania
Tetesi zinaonyesha kwamba Baraza la maaskofu limekuwa likikutana kutathmini kama serikali imefanyia kazi maoni yao.
Baada ya hali halisi kuonyesha serikali imeshindwa kufanyia kazi maoni yao mazuri na malalamiko ya wananchi,baraza limeandaa waraka mwingine mzito kuelekea Xmas na Mwaka Mpya. Waraka unasemwa kujikita katika mambo makuu matatu,ikiwemo haki za binadamu,hali ya kisiasa na amani
Hiyo ndio ngao yenu kwa sasa hakuna lingineWaraka wa maaskofu utahusu ushoga?Kama huu waraka wa EU?
Jiwe lazima ataomba "poo" kama sio kupagwa.
Christmas inaweza kupigwa marufuku kama zile sherehe zilizokuwa zifanyike hivi karibuni.
Bakwata na uvccm zote ni jumuiya za ccm.Itakuwa ameshaupata ndio maana kawananga kwenye zile sherehe za lile baraza ambalo wengi wenye baraza lao wanadai sio lao ni la Chama twawala.
Kama mnakumbuka mnamo mwezi Machine 2018 Baraza la Maaskofu pamoja na Maaskofu wa KKKT walitoa waraka mzito wa Pasaka kukemea hali tete nchini Tanzania
Tetesi zinaonyesha kwamba Baraza la maaskofu limekuwa likikutana kutathmini kama serikali imefanyia kazi maoni yao.
Baada ya hali halisi kuonyesha serikali imeshindwa kufanyia kazi maoni yao mazuri na malalamiko ya wananchi,baraza limeandaa waraka mwingine mzito kuelekea Xmas na Mwaka Mpya. Waraka unasemwa kujikita katika mambo makuu matatu,ikiwemo haki za binadamu,hali ya kisiasa na amani
Waraka wa maaskofu utahusu ushoga?Kama huu waraka wa EU?
Katangulia au katangulizwa?Siyo kweli si yule wa Mbeya kesha tangulia mbele za haki
Tupeni zawadi viongozi wetu wa dini, tunaisubiri kwa hamu sana, we shall appreciateKama mnakumbuka mnamo mwezi Machine 2018 Baraza la Maaskofu pamoja na Maaskofu wa KKKT walitoa waraka mzito wa Pasaka kukemea hali tete nchini Tanzania