Tetesi: Hali tete Tanzania: Baraza la Maaskofu laandaa Waraka Mzito wa X-Mass

Kama mnakumbuka mnamo mwezi Machine 2018 Baraza la Maaskofu pamoja na Maaskofu wa KKKT walitoa waraka mzito wa Pasaka kukemea hali tete nchini Tanzania

Tetesi zinaonyesha kwamba Baraza la maaskofu limekuwa likikutana kutathmini kama serikali imefanyia kazi maoni yao.

Baada ya hali halisi kuonyesha serikali imeshindwa kufanyia kazi maoni yao mazuri na malalamiko ya wananchi,baraza limeandaa waraka mwingine mzito kuelekea Xmas na Mwaka Mpya. Waraka unasemwa kujikita katika mambo makuu matatu,ikiwemo haki za binadamu,hali ya kisiasa na amani

Haina shida hata lile la PASAKA lilikuwa na mbwembwe na lilipita kama Giza na mwanga
 
Kama mnakumbuka mnamo mwezi Machine 2018 Baraza la Maaskofu pamoja na Maaskofu wa KKKT walitoa waraka mzito wa Pasaka kukemea hali tete nchini Tanzania

Tetesi zinaonyesha kwamba Baraza la maaskofu limekuwa likikutana kutathmini kama serikali imefanyia kazi maoni yao.

Baada ya hali halisi kuonyesha serikali imeshindwa kufanyia kazi maoni yao mazuri na malalamiko ya wananchi,baraza limeandaa waraka mwingine mzito kuelekea Xmas na Mwaka Mpya. Waraka unasemwa kujikita katika mambo makuu matatu,ikiwemo haki za binadamu,hali ya kisiasa na amani
WATAZUNGUMZIA KUWA SERIKALI IKUBALI USHOGA????
 
Mababa Askofu tunawaomba mababa zetu msimame na sisi wananchi, hali ngumu baba zetu, tunaumia, tunanyanyasika, tusaidieni kumueleza ukweli huyu mzee wetu.

Najua amejitahidi kuwawekeni karibu ili kuwalainisha, amejitahidi kuwaiteni ili mkutane naye mara kadhaa, amejaribu kuwaiteni ili mshiriki uzinduzi wa Stiegle's , yote hii ili mlainike lakini nyinyi mkilainika sisi Twafa.

Mababa Askofu msituangushe, Ubaya haushindwi kwa kishindo kimoja, bali endeleeni kusukuma na kusukuma mpaka ubaya ushindwe.

Mababa askofu, simameni na wanyonge wa nchi hii.

Sisi hatutaki kile ambacho hawezi kutupa, sisi tunataka
1. Uhuru wa kujieleza waziwazi bila hofu ya kupotezwa
2. Tunataka haki za kisiasa kama zilivyoainishwa katika katiba na sheria ya vyama
3. Tunataka uwazi katika utendaji wa shughuli za serikali
4. Tunataka Demokrasia kwa mujibu wa katiba
5. Tunataka ulinzi na usalama wetu hatutaki watu kutekwatekwa
6. Tunataka haki katika chaguzi na si uonevu wa wakurugenzi na watangaza matokeo
7. Tunataka katiba mpya kama vile sisi kama Taifa tumeshakubaliana kuwa hii ya sasa haitutoshelezi

Hayo yangu ni machache tu mababa askofu. Tafadhali sana nawaombeni myasimamie hayo
TENA AENDELEE KUKAZA UZI
 
Kama mnakumbuka mnamo mwezi Machine 2018 Baraza la Maaskofu pamoja na Maaskofu wa KKKT walitoa waraka mzito wa Pasaka kukemea hali tete nchini Tanzania

Tetesi zinaonyesha kwamba Baraza la maaskofu limekuwa likikutana kutathmini kama serikali imefanyia kazi maoni yao.

Baada ya hali halisi kuonyesha serikali imeshindwa kufanyia kazi maoni yao mazuri na malalamiko ya wananchi,baraza limeandaa waraka mwingine mzito kuelekea Xmas na Mwaka Mpya. Waraka unasemwa kujikita katika mambo makuu matatu,ikiwemo haki za binadamu,hali ya kisiasa na amani
Sema baraza la kkt na lowassa sio baraza la maaskofu.
Mtatumia kila gear safari hii kazi mnayo hakuna kuwaachia hatajimbo moja 2020
 
Kama mnakumbuka mnamo mwezi Machine 2018 Baraza la Maaskofu pamoja na Maaskofu wa KKKT walitoa waraka mzito wa Pasaka kukemea hali tete nchini Tanzania

Tetesi zinaonyesha kwamba Baraza la maaskofu limekuwa likikutana kutathmini kama serikali imefanyia kazi maoni yao.

Baada ya hali halisi kuonyesha serikali imeshindwa kufanyia kazi maoni yao mazuri na malalamiko ya wananchi,baraza limeandaa waraka mwingine mzito kuelekea Xmas na Mwaka Mpya. Waraka unasemwa kujikita katika mambo makuu matatu,ikiwemo haki za binadamu,hali ya kisiasa na amani
Kumbe ni tetesi!!
 
waainishe ni haki zipi za binadamu..au USHAGA NA USAGAJI NDO WANAUKUMBATIA NA WAO
 
Wakati wanandika huo waraka wazingatie maandiko ya kutii mamlaka maana mamlaka zote zina kibali cha Mungu Mwenyezi. Wasije wakabebwa na wimbi la mirengo ya kisiasa. Mhashamu Kilaini yuko wapi?
 
Jiwe lazima ataomba "poo" kama sio kupagwa.

Christmas inaweza kupigwa marufuku kama zile sherehe zilizokuwa zifanyike hivi karibuni.
Itakuwa ameshaupata ndio maana kawananga kwenye zile sherehe za lile baraza ambalo wengi wenye baraza lao wanadai sio lao ni la Chama twawala.
 
Source ya habari hiyo tafadhari !
Kama mnakumbuka mnamo mwezi Machine 2018 Baraza la Maaskofu pamoja na Maaskofu wa KKKT walitoa waraka mzito wa Pasaka kukemea hali tete nchini Tanzania

Tetesi zinaonyesha kwamba Baraza la maaskofu limekuwa likikutana kutathmini kama serikali imefanyia kazi maoni yao.

Baada ya hali halisi kuonyesha serikali imeshindwa kufanyia kazi maoni yao mazuri na malalamiko ya wananchi,baraza limeandaa waraka mwingine mzito kuelekea Xmas na Mwaka Mpya. Waraka unasemwa kujikita katika mambo makuu matatu,ikiwemo haki za binadamu,hali ya kisiasa na amani
 
Maaskof wa wakristo nawakubali sana hawana tabia za kulamba watu miguu ...

kama wenzao
 
Jiwe sijui yukoje sahv pale white.....naona anaona joto na AC kawasha vilevile....
 
Kwa nini asijaribu kuwapa million 30 kila madhehebu watumie kadri wanavyoona inafaa?
Mengine anajitakia mwenyewe. Penye kadhia mwaga rupia. Teh teh teh
 
Kama mnakumbuka mnamo mwezi Machine 2018 Baraza la Maaskofu pamoja na Maaskofu wa KKKT walitoa waraka mzito wa Pasaka kukemea hali tete nchini Tanzania

Tetesi zinaonyesha kwamba Baraza la maaskofu limekuwa likikutana kutathmini kama serikali imefanyia kazi maoni yao.

Baada ya hali halisi kuonyesha serikali imeshindwa kufanyia kazi maoni yao mazuri na malalamiko ya wananchi,baraza limeandaa waraka mwingine mzito kuelekea Xmas na Mwaka Mpya. Waraka unasemwa kujikita katika mambo makuu matatu,ikiwemo haki za binadamu,hali ya kisiasa na amani
Tupeni zawadi viongozi wetu wa dini, tunaisubiri kwa hamu sana, we shall appreciate
 
Back
Top Bottom