Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa twende wote mkuu.Watafute Wagner ukailinde urusi
Wamepunguza watu wengi wamepoteza malindo mengiWatafute Garda World
Nini kimesababisha wapoteze malindo? Mbna naonaga kama wapo vzuri sanaWamepunguza watu wengi wamepoteza malindo mengi
Weka namba nikupigieHabari wakuu,
Mwenye connection kazi za ulinzi ndugu yangu anatafuta.
Hali tete.
Cc: Sandali Ali
Mhando, ww ulikua garda,, vp what happened mpaka garda imepoteza malindo?
Washenzi sana...nawaombea wafirisike kabisa...Mhando, ww ulikua garda,, vp what happened mpaka garda imepoteza malindo?
Duh vp kuna sehemu wamezngua kaka??Washenzi sana...nawaombea wafirisike kabisa...
Hii ishapita deadline kaka
[emoji16][emoji16][emoji16]amekwambia ye anashida na kazi!!?Kweli kabisa twende wote mkuu.
Wewe tuma’ au fika ofisini... acha cv na vyeti wata kutafutaHii ishapita deadline kaka
Kwanini umjibie?[emoji16][emoji16][emoji16]amekwambia ye anashida na kazi!!?
kk na Garda ni mtu mmoja.kama umepitia jkt, mgambo kupata kazi ni haraka sana. kk security, garda, na nyinginezo nyingi
Hamna sehemu nimemjibia mtu zaidi nimeuliza swali tu ndugu mtoa mada[emoji16]!Kwanini umjibie?