Hali tete ya Maisha: Tumlilie nani?

Nchi ambazo bei ya bidhaa zimepanda sio Ghana au Zimbabwe, zipo nyingi tu bila kusahau kwa wenzetu walioendelea.

Nchini bei a bidhaa sio za juu sana kulinganisha na nchi zingine.

Tukumbuke Covid-19 and Rusia/Ukraine conflict effects dunia kwa sasa kiuchumi na kusababisha inflations kuwa juu.

Kwa hiyo, sio CCM au Serikali iliyosababisha hali hiyo.

Tutumie vichwa vyetu kuchambua mambo na kutoa mbadala chanya nini kifanyike badala kulaumu tu.

Kichwa kazi yake sio kufugia nywele bali kuwaza na kuwazua.

POVU RUKSA, karibuni tunywe ulanzi freshi Mwembetogwa. Baadae mkangafu maeneo ya Makanyagio.
 
Ulizaliwa Duniani kupata tabu sio kula raha..mlaumu Covid 19 na Putin.

Badala ya kubwabwaja kwenye mtandao,Kalianzishe kama wenzio huku 👇
We LQGBT huyo mwamba wa Kremlin anahusikaje na utawala wenu wa kipuuzi wa Bibi Tozo na machawa wake mliojazana humu.?

Hatununui mafuta Urusi ila bei imepaa, mabati mnanunua Urusi? Sukari mnanunua Urusi? RUSSIA has nothing to do with your bullcrap...Msieneze cheap propoganda kutetea ujinga.

Lieni na wasimamizi ambao wameruhusiwa kujilambia buyu la asali hata muda wa kazi.
 
Ujue ukiwa na narrow mind Ndio unauliza maswali ya kitoto kama hayo..

Itoshe tuu kusema Wenye akili ndogo mna matatizo Sana maana yote unayoongea yana majibu aidha unayajua au unafanya kusudi kwa sababu za chuki zako binafsi..Sasa mimi siwezi elewesha mjinga mmja kama wewe ulieamua kuchagua kuwa mpumbavu.
 
Umeme,ni Kero kubwa,mie niliomba kuunganishiwa umeme tangu July 2019 na mwezi june 2022 ndo nimeunganishiwa ,,hatari sana
 
Asante kwa kujitambua mpumbavu mwenzangu😂😂😂😂 !!!
We unahisi mi namchukia mtu nikimkosoa hakika wewe ni mpumbavu kweri kweri.
 
Mishahara imerongzwa kwa 23% viliyo vya nini tena?
 
Tulikubaliana mambo ma 4.
1. Tunataka maendeleo ya watu(wafanyabiashara to be specific)
3. Tuifungue Inchi
4. Tuupige mwingi
5. Mengineyo yasubiri kwanza
 
Mishahara imerongzwa kwa 23% viliyo vya nini tena?
23%??? Sio kweli

Lakini pia gharama za maisha zimepanda sana, mahitaji karibu yote ya kila siku ya nyumbani yamepanda.

Kuna mtu niliwahi kumuuliza kipi Bora ulipwe mil 1 kwa mwezi alafu gharama za maisha kwa mwezi ziwe laki 8. Au ulipwe laki 7 alafu gharama za maisha ziwe laki 3??
Akasema bora alipwe mil 1

Nikabaki nacheka tu
 
Chalamila unahangaika Sana. Fanya kazi. Kama kuna ulazima wa kumlaumu mtu basi mlaumu Baba yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…