Hali tete ya Maisha: Tumlilie nani?

Hali tete ya Maisha: Tumlilie nani?

Nchi ambazo bei ya bidhaa zimepanda sio Ghana au Zimbabwe, zipo nyingi tu bila kusahau kwa wenzetu walioendelea.

Nchini bei a bidhaa sio za juu sana kulinganisha na nchi zingine.

Tukumbuke Covid-19 and Rusia/Ukraine conflict effects dunia kwa sasa kiuchumi na kusababisha inflations kuwa juu.

Kwa hiyo, sio CCM au Serikali iliyosababisha hali hiyo.

Tutumie vichwa vyetu kuchambua mambo na kutoa mbadala chanya nini kifanyike badala kulaumu tu.

Kichwa kazi yake sio kufugia nywele bali kuwaza na kuwazua.

POVU RUKSA, karibuni tunywe ulanzi freshi Mwembetogwa. Baadae mkangafu maeneo ya Makanyagio.
 
Ulizaliwa Duniani kupata tabu sio kula raha..mlaumu Covid 19 na Putin.

Badala ya kubwabwaja kwenye mtandao,Kalianzishe kama wenzio huku 👇
We LQGBT huyo mwamba wa Kremlin anahusikaje na utawala wenu wa kipuuzi wa Bibi Tozo na machawa wake mliojazana humu.?

Hatununui mafuta Urusi ila bei imepaa, mabati mnanunua Urusi? Sukari mnanunua Urusi? RUSSIA has nothing to do with your bullcrap...Msieneze cheap propoganda kutetea ujinga.

Lieni na wasimamizi ambao wameruhusiwa kujilambia buyu la asali hata muda wa kazi.
 
Ujue ukiwa na narrow mind Ndio unauliza maswali ya kitoto kama hayo..

Itoshe tuu kusema Wenye akili ndogo mna matatizo Sana maana yote unayoongea yana majibu aidha unayajua au unafanya kusudi kwa sababu za chuki zako binafsi..Sasa mimi siwezi elewesha mjinga mmja kama wewe ulieamua kuchagua kuwa mpumbavu.
 
Umeme,ni Kero kubwa,mie niliomba kuunganishiwa umeme tangu July 2019 na mwezi june 2022 ndo nimeunganishiwa ,,hatari sana
 
Ujue ukiwa na narrow mind Ndio unauliza maswali ya kitoto kama hayo..

Itoshe tuu kusema Wenye akili ndogo mna matatizo Sana maana yote unayoongea yana majibu aidha unayajua au unafanya kusudi kwa sababu za chuki zako binafsi..Sasa mimi siwezi elewesha mjinga mmja kama wewe ulieamua kuchagua kuwa mpumbavu.
Asante kwa kujitambua mpumbavu mwenzangu😂😂😂😂 !!!
We unahisi mi namchukia mtu nikimkosoa hakika wewe ni mpumbavu kweri kweri.
 
Wandugu hali ya maisha ni tete, tuna aangaika huku na kule hakuna pa kukimbilia

- Wazee waliokuwa wanalipwa na TASSAF, sasa inabidi wafanye kazi za kujitolea katika maeneo ya umma kwenye halmashauri husika ili walipwe, no free lunch.

-TANESCO tangu mwezi decemba 2021 hadi leo tarehe 4 julai naandika uzi huu, kuna maombi takribani 10,000 wateja wapya waliotuma maombi kuingiziwa umeme (new conection) nchi nzima, lakini hakuna mita, hakuna nguzo. Wateja wanazidi kusota, TANESCO wanaendelea kukusanya malipo ya maombi mapya bila kutoa huduma! Hali ni tete, tumlilie nani?baada ya kuona jam imekuwa kubwa na idadi ina exceed the limit, wamekuja na maombi mtanaoni!mmmmm, tutafika tu, hata kwa machozi.

Hayo inawezekana hayakuhusu, sasa ona yanayo kuhusu: Anyway Wacha tuangalie ndani ya miezi 3 ilio pita
i/ Sabuni mcheni ilikuwa 2000 saivi 4000
ii/ Mafuta ya kupika Lita ilikuwa 2500 saivi 6000
iii/ Mfuko wa mbolea ulikuwa 50000 saivi 120000
iv/ Unga ulikuwa kilo 700 saivi 1800
v/ Petrol ilikuwa 2500 saivi 3227
vi/ Mchele kilo ilikuwa 1500 saivi 2500
vii/ Bei ya rimu ilikuwa 9500 saivi 24000
viii/ Kondom ilikuwa 500 saivi 1000
ix/ Unga wa ngano kilo ilikuwa 1200 saivi 2200
x/ Mafuta ya taa 1200 Hadi 2600
xi/ Tambi 1500 Hadi 2500
xii/ Soda ilikuwa 500 saivi 600
xiii/ Bati ilikuwa 285000 kwa Sasa ni 345000
xiv/ Daftari ilikuwa 500 saivi 800
xv/ Whitedent kutoka 1000 hadi 2000
xvi/ Mahindi debe ilikuwa 10,000 saizi 18,000
xvii/ Nyama kutoka 6000 Hadi 8000
xviii/ Mahindi gunia ilikuwa 60000 sasa ni 150,000

Hali iko hivyo, nauli, tozo kila kitu, NB: UKIONA MAISHA MAGUMU HAMIA BURUNDI
Mishahara imerongzwa kwa 23% viliyo vya nini tena?
 
Tulikubaliana mambo ma 4.
1. Tunataka maendeleo ya watu(wafanyabiashara to be specific)
3. Tuifungue Inchi
4. Tuupige mwingi
5. Mengineyo yasubiri kwanza
 
Mishahara imerongzwa kwa 23% viliyo vya nini tena?
23%??? Sio kweli

Lakini pia gharama za maisha zimepanda sana, mahitaji karibu yote ya kila siku ya nyumbani yamepanda.

Kuna mtu niliwahi kumuuliza kipi Bora ulipwe mil 1 kwa mwezi alafu gharama za maisha kwa mwezi ziwe laki 8. Au ulipwe laki 7 alafu gharama za maisha ziwe laki 3??
Akasema bora alipwe mil 1

Nikabaki nacheka tu
 
Chalamila unahangaika Sana. Fanya kazi. Kama kuna ulazima wa kumlaumu mtu basi mlaumu Baba yako!
 
Back
Top Bottom