Kubwjing
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 3,289
- 5,964
Habarini Wakuu,
Aisee Maandamano ya Arusha kutokea Sakina, Mianzini, Ilboru, na Sanawari kuelekea Clock Tower umezima kabisa zoezi la upigaji kura na kusababisha uharibifu wa mali
Vijana wametoa vifaa vya kupigia na kutupa barabarani kisha kuchoma moto
Pia Wamechoma magari nane mpaka sasa ndani ya ofisi za TAKUKURU
Nguvu kubwa ya Polisi inahitajika kwani wanaweza kuzidiwa na raia ambao wanaonesha kutoogopa risasi
Tuombe Amani