GE2025 Hali ya Arusha ni tete kutokana na maandamano

GE2025 Hali ya Arusha ni tete kutokana na maandamano

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Kubwjing

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2025
Posts
3,289
Reaction score
5,964
Habarini Wakuu,

Aisee Maandamano ya Arusha kutokea Sakina, Mianzini, Ilboru, na Sanawari kuelekea Clock Tower umezima kabisa zoezi la upigaji kura na kusababisha uharibifu wa mali

Vijana wametoa vifaa vya kupigia na kutupa barabarani kisha kuchoma moto

Pia Wamechoma magari nane mpaka sasa ndani ya ofisi za TAKUKURU

Nguvu kubwa ya Polisi inahitajika kwani wanaweza kuzidiwa na raia ambao wanaonesha kutoogopa risasi

Tuombe Amani
 
Mmmh weka picha maana awa wa Arusha skuiz wamebadilika sana wamekua laini sana
 
Mmmh weka picha maana awa wa Arusha skuiz wamebadilika sana wamekua laini sana
Hapana aisee, mimi nilifikiri wangetulia kwavile Paul Makonda alifanikiwa kuwaweka karibu ila hali imekuwa tafauti kabisa Sheikh
Mpaka muda huu Askari wanapiga risasi juu kutawanya watu kwsbb wamefika AICC
 
Mmmh weka picha maana awa wa Arusha skuiz wamebadilika sana wamekua laini sana
Mzee wa ngoma ya lucky dude back to my roots imepotea sana jamvini.

Kuna mwamba kwenye hilo goma anapiga drums maamae.
 
Habarini Wakuu,

Aisee Maandamano ya Arusha kutokea Sakina, Mianzini, Ilboru, na Sanawari kuelekea Clock Tower umezima kabisa zoezi la upigaji kura na kusababisha uharibifu wa mali

Vijana wametoa vifaa vya kupigia na kutupa barabarani kisha kuchoma moto

Pia Wamechoma magari mawili mpaka sasa karibu na ofisi za TAKUKURU

Nguvu kubwa ya Polisi inahitajika kwani wanaweza kuzidiwa na raia ambao wanaonesha kutoogopa risasi

Tuombe Amani
Tunataka haki kwanza, hii amani ya viongozi na chawa peke yao hatuitaki.
 
Wamalizane na Makonda kabisa. Mali zake na kila kitu. Huyu mshenzi hastahili kuendelea kuwepo duniani kwa alivyotesa watu
Machalii hakuna mwenye bando atuwekee kapicha...Nilijua machalii zangu hawawezi kuniangusha❤️😊
 
Back
Top Bottom