Nimechek na mtu wa huko anasema anasikia milio kama ya mabomu. Najua kimeumana tyr.Mmmh weka picha maana awa wa Arusha skuiz wamebadilika sana wamekua laini sana
Hapana aisee, mimi nilifikiri wangetulia kwavile Paul Makonda alifanikiwa kuwaweka karibu ila hali imekuwa tafauti kabisa SheikhMmmh weka picha maana awa wa Arusha skuiz wamebadilika sana wamekua laini sana
Wahalilishe nyumba za makonda na mali zake zote zinateketea kabisaaa.Wamechoma magari mawili na pilipiki ya polisi
Mzee wa ngoma ya lucky dude back to my roots imepotea sana jamvini.Mmmh weka picha maana awa wa Arusha skuiz wamebadilika sana wamekua laini sana
Tofauti ya arusha na mombasa ni bahariMmmh weka picha maana awa wa Arusha skuiz wamebadilika sana wamekua laini sana
Tunataka haki kwanza, hii amani ya viongozi na chawa peke yao hatuitaki.Habarini Wakuu,
Aisee Maandamano ya Arusha kutokea Sakina, Mianzini, Ilboru, na Sanawari kuelekea Clock Tower umezima kabisa zoezi la upigaji kura na kusababisha uharibifu wa mali
Vijana wametoa vifaa vya kupigia na kutupa barabarani kisha kuchoma moto
Pia Wamechoma magari mawili mpaka sasa karibu na ofisi za TAKUKURU
Nguvu kubwa ya Polisi inahitajika kwani wanaweza kuzidiwa na raia ambao wanaonesha kutoogopa risasi
Tuombe Amani
Wamalizane na Makonda kabisa. Mali zake na kila kitu. Huyu mshenzi hastahili kuendelea kuwepo duniani kwa alivyotesa watuNasikia chuga bado kimeumana.
Machalii hakuna mwenye bando atuwekee kapicha...Nilijua machalii zangu hawawezi kuniangusha❤️😊Wamalizane na Makonda kabisa. Mali zake na kila kitu. Huyu mshenzi hastahili kuendelea kuwepo duniani kwa alivyotesa watu