Hapa ni Kibirizi, jirani na Msikiti wa Mtendeni Manispaa ya Kigoma Ujiji, hii barabara ni kubwa, inaelekea katika Bandari ya Kibirizi na kuelekea Kigoma Mjini.
Eneo hili limekuwa kero ya muda mrefu kwa madereva wanaotumia barabara hii.
Licha ya uwepo wa kero hiyo ila bado wahusika wameendelea kupafumbia macho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.