Hali ya barabara ya Dumila - Handeni - Korogwe, Je ni barabara ya lami au vumbi?

Kipande cha Dumila ~ Turiani kina lami safi sana. Kutoka Turiani kwenda Handeni ni km 99 ni raugh road barabara ya vumbi, kuna sehemu nzuri na kuna sehemu mbovu. Hii barabara ina Mkandarasi lakini yupo very slow, na kuna maeneo anajenga madaraja. Sikushauri upite hasa kama una gari ndogo la chini, labda kama una gari kubwa Design ya prado au Harrier unaweza kupita ingawa spidi yake haitazidi 60 kwa ile barabara.

Barabara hiyo ya vumbi haina kona kali kama mdau hapo juu alivyosema. Ukifika Handeni Mjini kwenda Korogwe ni barabara ya lami ingawa ile lami ina matuta mengi mno.

Kutokea Korogwe kufika Mombo ni mkeka, kutoka Mombo kufika Lushoto ni lami. But lami hii uwe nayo makini sana, Lushoto ni milimani, barabara ni nyembamba na ina sharp corner Na Ni Milimani mwanzo mwisho. Kuna sehemu nyingi hamuwezi kupishana hivyo wakati unapandisha ukiona gari[lori] inashuka ni vizuri gari yako isimame pembeni mpaka lori lipite ndipo uendelee na Safari. Hii ni caution kwa dereva mgeni, always stay on your side, usikae katikati ya barabara.

Kutoka Mombo to Lushoto ni km 38 tu lakini driving yake ni 1hr+, so you can feel it.

Ukifika Lushoto nicheki nikupeleke kidimbwi, uwe na Safari njema in advance.
Hii Imeenda Mdau
 
Maelezo yako yamenisisimua.
Kuna milima iliwahi kunitesa, nilikuwa nimepata ajali jana yake nikanusurika, kesho yake nilitakiwa kuendelea na safari na ilikuwa ni kupandisha milima mwanzo mwisho.

Wenge la ajali lilinitesa sana.

Kuna wakati nilikuwa naegesha gati nasali kwanza.

Ulikuwa wakati mgumu sana na gari pamoja na kutegenezwa lkn ghafla breki zilianza kufeli
 
Maelezo yako yamenisisimua.
Kuna milima ilowahi kunitesa, nilikuwa nimepata ajali jana yake nikanusurika, kesho yake nilitakiwa kuendelea na safari na ilikuwa ni kupandisha milima mwanzo mwisho.

Wenge la ajali lilinitesa sana.

Kuna wakati nilikuwa naegesha gati nasali kwanza.

Ulikuwa wakati mgumu sana na gari pamoja na kutegenezwa lkn ghafla breki zilianza kufeli
Pole sana kwa hali iliyokukuta chief! Jamaa yupo detailed vizuri sana kiasi kwamba ukifuata maelekezo yake safari yako lazima iwe ya mafanikio. Na inavyooneka ni dereva mzoefu!

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Duh, kweli watanzania hatuna furaha! Hapo nimekutangazia nini? Pili unaniita kijana, unanifahamu? Kama umeona uzi wangu unashida nyamaza watu wenye msaada wachangie.
Huwezi nipangia humu cha kuandika kwani hukunileta au kunifundisha kutumia jf
 
Habari wakuu,

Mwezi wa kumi na moja nina safari ya kwenda Lushoto kwa kutumia usafiri binafsi. Kiufupi mimi ni mgeni katika mkoa wa Tanga na sijui hali ya barabara mkoani humo. Ninaishi kwenye moja ya mikoa ya kanda ya magharibi mwa Tanzania. Barabara ninayotaka kutumia ni ile ya kutoka Dodoma kwenda Morogoro. Ningependa kupita njia fupi pindi nitakapofika Dumila, yaani nitumie barabara ya Dumila - Handeni - Korogwe (wastani wa kilomita 230 kwa mjibu wa google map).

Kwa wenyeji wa mkoa huu au wale waliowahi kutumia barabara hiyo, ningependa kupata maelekezo yenu yatokanayo na uzoefu wenu, je barabara hii Dumila - Korogwe ni lami? Kama ni ya vumbi, inapitika wakati wa masika?

Asanteni sana.
Hiyo njia ni ya vumbi vinginevyo labda upite chalinze
 
Kipande cha Dumila ~ Turiani kina lami safi sana. Kutoka Turiani kwenda Handeni ni km 99 ni raugh road barabara ya vumbi, kuna sehemu nzuri na kuna sehemu mbovu. Hii barabara ina Mkandarasi lakini yupo very slow, na kuna maeneo anajenga madaraja. Sikushauri upite hasa kama una gari ndogo la chini, labda kama una gari kubwa Design ya prado au Harrier unaweza kupita ingawa spidi yake haitazidi 60 kwa ile barabara.

Barabara hiyo ya vumbi haina kona kali kama mdau hapo juu alivyosema. Ukifika Handeni Mjini kwenda Korogwe ni barabara ya lami ingawa ile lami ina matuta mengi mno.

Kutokea Korogwe kufika Mombo ni mkeka, kutoka Mombo kufika Lushoto ni lami. But lami hii uwe nayo makini sana, Lushoto ni milimani, barabara ni nyembamba na ina sharp corner Na Ni Milimani mwanzo mwisho. Kuna sehemu nyingi hamuwezi kupishana hivyo wakati unapandisha ukiona gari[lori] inashuka ni vizuri gari yako isimame pembeni mpaka lori lipite ndipo uendelee na Safari. Hii ni caution kwa dereva mgeni, always stay on your side, usikae katikati ya barabara.

Kutoka Mombo to Lushoto ni km 38 tu lakini driving yake ni 1hr+, so you can feel it.

Ukifika Lushoto nicheki nikupeleke kidimbwi, uwe na Safari njema in advance.
Ongea osie kweli we unaijua hiyo njia sio hao wahuni waliotangulia kucomment wakati wapo Kizuramimba au Buzirayombo hawajawahi hata kufika makao nakuu ya mikoa yao
 
Kama shida ni kukwepa rough road na kupunguza safari nashauri ukiingia kipande cha barabara ya Dumila-Turiani(lami) then Turiani-Mziha-Kibindu-Mbwewe(Vumbi). Then Mbwewe-Segera-Korogwe-Lushoto(lami).

Kipande cha kutoka Turiani-Handeni(Vumbi) ni kirefu sana na service yake siyo ya mara kwa mara kulinganisha na Mziha-Mbwewe Ridhiwani tumpe maua yake anajitahidi sana kukarabati barabara za jimboni kwake.
Kwahiyo nakushauri tumia route hiyo kurahisisha trip yako.
 
Back
Top Bottom