Hali ya biashara imekuwa mbaya kiasi gani mpaka kuna makampuni yanapumulia mashine kwa kuajiri interns wa kujitolea ?

Hali ya biashara imekuwa mbaya kiasi gani mpaka kuna makampuni yanapumulia mashine kwa kuajiri interns wa kujitolea ?

Kuna kampuni waajiriwa wake karibia wote ni interns wale wa kujitolea bure au posho ya laki wakiwa na matumaini ya kuajiriwa siku moja. Lakini ahadi hizo huwa ni maneno tu, wakizichoka na kuondoka ni kitendo cha kufumba na kufumbua wengine wanakuja kujaza nafasi zao kana kwamba hakuna kilichotokea.

waajiriwa rasmi ni wachache wa kuhesabika kama muhasibu na meneja
Taja kampuni mbili tatu hivi tuendelee kuchangia
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Yuko Rafiki yangu kutoka Kigoma aliingia Kariakoo na 1Bl za madafu, akaanza biashara lakini kutokana na dhiki ya wananchi, baada ya miaka 3 nikamuambia afanye Stock taking, tukaja tukajua ana 800mil tu.

Hii maana yake biashara ilikuwa ngumu na alikuwa anaihudumia badala ya yenyewe kumhudumia.

Hali hii hutokea kutokana na ukosefu wa wateja huku gharama za uendeshaji zikiwa fixed
President Reagan once said “we don’t have inflation because people are living too well, we have inflation because the government is living too well”
 
Tuliambiwa uchumi wetu unajua wa merekani unasubiri.
 
Wanasiasa ndio wanufaika wa uchumi wa nchi hii ndio maana kila mwa CCM anataka kuwa mbunge.
 
Sio makampuni hata shule binafsi zinachukua waalimu na kuwafanyia interview ya mwezi au miezi miwili unapewa kufundisha masomo fulani kama ndio inteview yako kumbe unacover topics bila kujua then unaambiwa umefeli interview.usanii ni mwingi sana kwasasa na hakuna pa kusemea wala kulalamika.ajira nzuri sasa hivi ni bodaboda na uchawa.uchawa unalipa sana .
 
Tutajie shule au kampuni binafsi zinazofanya hicho unachodai.Bila ushahidi huo ni uzushi tu kwa vikao vya pombe na kahawa.
 
Back
Top Bottom