Hali ya Chid Benz Inasikitisha sana

Hali ya Chid Benz Inasikitisha sana

Umeongea point. Wanyonyaji katika hiyo sekta ya music ndo wamewafikisha wengi hapo mahala oabaya walipofika, miongoni kwao Tod na q.chief. Vijana walikuwa na vipaji lakini wanyonyaji wakawadhibiyi na kuwakamdamiza na kiwataka wafate SHERIA zao kandamizi na wakiuliza tu wanapotezwa kwenye industry, muziki Yao haipigwi... management za kinyonyaji miongoni kwao marehemu Ruge na Joseph kusaga na kina chief kumbe... Diamond mjanja sana alkwasanukia mapema akatupa huko, ingawa mpaka Sasa sio kwamba yupo salama sana sababu bado wamemganda na wanampa percentage kidogo hapo wasafi...let's wait and see kama atafanikiwa kwenye hiyo seven media
Umiliki wa asilimia zaidi ya 40 ni mdogo kwako?
 
Chidi ni rapa mkali sana ila mfumo wa nchi kwenye mziki wa hip hop haujampa mafanikio kulinganisha na alichotoa(uwezo wake) imepelekea kupata msongo wa mawazo na kutumbukia kwenye uraibu wa madawa ya kulevya.

Mtu mwingine anayekuja kwa sifa ni Young dee soon kitaumana.
Hamkosi sababu nyie, eti msongo ndio umempeleka kwenye uraibu nyambaf
 
Am
Hali ya Msanii wa Hiphop Rashidi Makwilo (Chidibenz) inasikitisha sana sana, Siku za hivi karibuni amekua akiishi Msasani (Maandazi road) maskani moja na mateja, Kinachonisikitisha zaidi jamaa anaonekana hayuko sawa kiafya miguu imevimba, anaonekana aliumia na hajapona vizuri,miguu ameifunga bandage na anatembelea ndala, Nimemuona leo asubuhi nikiwa naelekea kazini atembea kwa msaada wa watu wanampa support (Nahisi alikuwa amelewa sana) Uso wake ni kama hauna matumaini

Nitoe wito kwa wasanii wenzake na Familia yake wamfuate pale msasani coz anaishi maskani na hana mtu wa kumuangalia, Sina uhakika ila kuna uwezekano labda amerudi tena kwenye wimbi la madawa ya kulevya

Kwa inavyoonekana ni kama wasanii wenzake wamemsusa, hawana time naye tena Lakini naona sio sahihi coz ni Msanii mwenzao inabidi wakubali kubeba hili jukumu la kumlinda na kumtunza Chidibenz, Juzi kwenye show ya Serengeti pale K/nyama viwanja vya posta, Chidibenz alipanda Wakimtenga hivi depression inaweza ikammaliza kabisa, Kwa upande wa Familia yake sijui wao wamejipangaje coz inaumiza sana kumuona Ndugu au mtu wako wa karibu akiwa anapitia kipindi kigumu

Vijana tujitahidini sana kuishi kwa nidhamu, Ujana una mambo mengi bila yakua na nidhamu ni r

Vijana tujitahidini sana kuishi kwa nidhamu, Ujana una mambo mengi bila yakua na nidhamu ni rahisi kuanguka
Ameshapambaniwa sana huyo watu wameshindwa.

Kwani ni Chid tu mwenye shida nchi hii?
 
Levo zangu hawazifikii nimewakamata nyoyko nyoko siwasikii,ona wameanza majungu tamu kwangu kwao chungu .ilala ilala ilalaaaa mikono mfululu yaani papapapaapapaa wamekaaaaaaaa!

Aiseee maisha mbupu za mbuzi leo mbele kesho nyuma ,chid ndiyo basi tena hawezi kurudi kuwa normal ,mguu kuendelea kuwa na vidonda means bado ni nyoka(mla unga).
 
Unga mbaya sana mkuu.....ameshaisha, amefika point of no return.
 
Hali ya Msanii wa Hiphop Rashidi Makwilo (Chidibenz) inasikitisha sana sana, Siku za hivi karibuni amekua akiishi Msasani (Maandazi road) maskani moja na mateja, Kinachonisikitisha zaidi jamaa anaonekana hayuko sawa kiafya miguu imevimba, anaonekana aliumia na hajapona vizuri,miguu ameifunga bandage na anatembelea ndala, Nimemuona leo asubuhi nikiwa naelekea kazini atembea kwa msaada wa watu wanampa support (Nahisi alikuwa amelewa sana) Uso wake ni kama hauna matumaini

Nitoe wito kwa wasanii wenzake na Familia yake wamfuate pale msasani coz anaishi maskani na hana mtu wa kumuangalia, Sina uhakika ila kuna uwezekano labda amerudi tena kwenye wimbi la madawa ya kulevya

Kwa inavyoonekana ni kama wasanii wenzake wamemsusa, hawana time naye tena Lakini naona sio sahihi coz ni Msanii mwenzao inabidi wakubali kubeba hili jukumu la kumlinda na kumtunza Chidibenz, Juzi kwenye show ya Serengeti pale K/nyama viwanja vya posta, Chidibenz alipanda Wakimtenga hivi depression inaweza ikammaliza kabisa, Kwa upande wa Familia yake sijui wao wamejipangaje coz inaumiza sana kumuona Ndugu au mtu wako wa karibu akiwa anapitia kipindi kigumu

Vijana tujitahidini sana kuishi kwa nidhamu, Ujana una mambo mengi bila yakua na nidhamu ni rahisi kuanguka
Chid Benz ndiye aliyewatenga wasanii wenzake. Huo mguu aliungua moto, una kidonda kikubwa hadi hawezi tena kuvaa kiatu cha kutumbukiza, inabidi avae hizo kandambili.

Mtu pekee anayeweza kumsaidia Chid Benz na akatoka kwenye hiyo hali ni Rashid Makwiro aliye ndani yake. Ajikumbuke kabla hajawa Dogo Benzino na sasa Chid Benz.

Ova
 
Chidi ni rapa mkali sana ila mfumo wa nchi kwenye mziki wa hip hop haujampa mafanikio kulinganisha na alichotoa(uwezo wake) imepelekea kupata msongo wa mawazo na kutumbukia kwenye uraibu wa madawa ya kulevya.

Mtu mwingine anayekuja kwa sifa ni Young dee soon kitaumana.
Aina ya maisha aliyochagua imempa hayo matokeo, na si hip-hop. Umaarufu umekuwa mzigo kwake, angalia life ya wasanii kama Nash Mc, Nikki Mbishi, wako simple na albums watoa kila mwaka.
 
Hawa wasanii hawapendi kuingia kwenye huo uraibu, lakini mfumo mbovu wa usimamizi muziki hapa tz ndio unawaumiza na kujikuta wanatumbukia kwenye huo mtego wa madawa.

Jaribuni kumsikiliza vizuri dudubaya katika interview alizofanya hivi karibuni. Jamaa kaongelea mfumo wa muziki ulivyo mbovu na wa hovyo sana, wasanii wanapitia mengi sana, kwenye huu muziki kuna mijitu inawanyonya mpaka wanabaki ngozi halafu inawatema.I
Kuna kazi nyingi za kufanya zaidi ya kuwa wasanii, watoke huko. Unakaaje kwenye mfumo ambao haukupi faida?! Umaarufu umekuwa mwiba kwao.
 
Hali ya Msanii wa Hiphop Rashidi Makwilo (Chidibenz) inasikitisha sana sana, Siku za hivi karibuni amekua akiishi Msasani (Maandazi road) maskani moja na mateja, Kinachonisikitisha zaidi jamaa anaonekana hayuko sawa kiafya miguu imevimba, anaonekana aliumia na hajapona vizuri,miguu ameifunga bandage na anatembelea ndala, Nimemuona leo asubuhi nikiwa naelekea kazini atembea kwa msaada wa watu wanampa support (Nahisi alikuwa amelewa sana) Uso wake ni kama hauna matumaini

Nitoe wito kwa wasanii wenzake na Familia yake wamfuate pale msasani coz anaishi maskani na hana mtu wa kumuangalia, Sina uhakika ila kuna uwezekano labda amerudi tena kwenye wimbi la madawa ya kulevya

Kwa inavyoonekana ni kama wasanii wenzake wamemsusa, hawana time naye tena Lakini naona sio sahihi coz ni Msanii mwenzao inabidi wakubali kubeba hili jukumu la kumlinda na kumtunza Chidibenz, Juzi kwenye show ya Serengeti pale K/nyama viwanja vya posta, Chidibenz alipanda Wakimtenga hivi depression inaweza ikammaliza kabisa, Kwa upande wa Familia yake sijui wao wamejipangaje coz inaumiza sana kumuona Ndugu au mtu wako wa karibu akiwa anapitia kipindi kigumu

Vijana tujitahidini sana kuishi kwa nidhamu, Ujana una mambo mengi bila yakua na nidhamu ni rahisi kuanguka
Alipokuwa anakula bata na mafumba yamejaa alikuwa anawambia' Jipende wewe kwanza" Love yourself kwanza, its me and I and my Life.

Unajua maisha yakiwa yanakuendea vizuri watu wengine wote unawaona ni takataka na hawana mpango na maisha. Unawaona ni wavivu wanaishi ishi tu bila mipango na maisha yao ya hovyo hovyo.

Uombe yaendelee kuwa mazuri tu. Ila yakichacha utaanza kulaumu watu sio wazuri, watu wana roho mbaya
 
Umenikumbusha enzi za marehemu Ng'wea..,kuna siku nilimkuta Msasani mwisho kule asubuh hana hata nguo nadhani nae alilewa sana usiku huo,....siku nyingine tena nilikutananae maeneo flani yaani yupo rafu kichizi/kachoka nadhani pia ni madawa yale.

Chaajabu baadhi ya wasanii wenzake na wadau wa muziki walikuwa wanajua hilo..,ila baada ya kufa ndio kila mtu anampa sifa na kutoa msaada na wakati kipindi yupo hai wala hakuwa anapata hizo sifa!! kwa jinsi nilivyokuwa namuona kwa hadhi ya Ng'wea hakustaili ile hali alihitaji msaada zaidi.

Na kwa Chid nadhani ni mpaka afe ndio watu waanze kushtuka japo najua kuna baadhi ya wadau walishataka kumsaidia..,lakini wasanii nadhani ndio wanapaswa kuwa mstari wa mbele kwny hilo swala la kumsaidia msanii mwenzao.
Wasanii wenyewe kila mtu anapambana na hali yake hawana time.
 
Umesema ukweli japo ni mchungu. Dunia na maisha kwa ujumla hayana huruma. Ndiyo, watu kama hawa wakishafika hiyo stage ya uteja wanahitaji msaada kwani wenyewe wanakuwa hawana uwezo wa kujisaidia tena, lakini kiuhalisia kwa maisha ya kitanzania hili ni gumu kutokea. BTW si ni watu wa CCM hawa? Au inawapenda wanapokuwa wazima tu?
😂😂😂😂Hizi sentensi mbili za mwisho
 
Back
Top Bottom