The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Weweeeee nani kasema mcheza kamari afya inabaki stable, kuna heart attack mkuu, ulcers, strokes, mental illiness n.kMkuu uraibu ni mbaya ila uraibu mbaya zaidi ni ule unaoathiri afya yako ya mwili mkuu kama mdawa na ulevi na ngono zembe.
Kuna watu wana uraibu na soka yani hakosi kuangalia ligi za mipira kila wakati hadi anakera kwa kuchelewa kurudi home. Hio inaathiri socially ila sio health ya mrahibu.
Kuna wacheza kamari, hio athari zake ni kiuchumi ila afya ya mkamaria inabakia stable.
Ukisha athirika kiuchumi kama physical mind hauko sawa na afya itadeteorerate the same..
Watch movies na kuwa mpenzi wa soka tusiviweke kwenye uraibu tuviite hobby......uraibu huwa na nguvu kubwa na starehe isiyo kifani (starehe inayolipiwa gharama)....