#COVID19 Hali ya Covid Moshi ni mbaya sana watu wanakuputika balaa

UPUUZI huu

Madalali ya barakoa na misaada ya IMF tusitishane
 
Hasira ya Mungu ilikuwa juu ya muuaji mkuu aliyepeleka watu jela kwa makosa ya kusingiziwa. Akaumiza familia. Akituma watu wake kupiga risasi waliopingana naye... Kama mashetani ni wengi, huyo alikuwa mkuu wao.

Na ujue kuwa hakuna sehemu watu wanakufa sana kuliko Kanda ya Ziwa. Niko Kanda ya Ziwa.
Huo ukanda walishangilia sana kifo cha Magufuli.

Hasira ya Mungu hiyo acha wapukutike
 
Serikali iharakishe chanjo sie wenye shida tuchanje. Acha hao wasioamini waendelee na wasichokiamini. Alafu kiwakute kilichomkuta Mwendazake kwa ukaidi wake.
Kuna madaktari na manesi wameshachanjwa. Hawajifunzi. Wameshuhudia viongozi walivyo potea kama upepo ila bado wanashupaza shingo.
 
Siku yakikukuta ndio utajua kama Corona ipo au lah, naona mATAGA bado hawakomi
Corona ipo.ila.sio mambo za kujazana hofu....kufa siku zako.zikifika utakufa tu hata uvae mabarakoa buku.....wengi wanapata wanapona na pia wanaoenda wapo kama malaria tu
 
Kama hujafa wewe mleta mada pamoja n kuwa na tahadhli ndogo uliyo nayo kwenye pombe za bei ndogo, na magonjwa mtambuka uliyo nayo hizi ni POROJO tu.

Tuchukue Tahadhri juu ya UVIKO
 
Corona ipo.ila.sio mambo za kujazana hofu....kufa siku zako.zikifika utakufa tu hata uvae mabarakoa buku.....wengi wanapata wanapona na pia wanaoenda wapo kama malaria tu


 

Kuna wengine walikua hawaamini katakata kama kuna covid, sasa waendelee kutoamini na kufuata mashariti hakuna kulaumiana.
 
Mlima Kilimanjaro na wageni wanaopandda huo mlima naona ....baaa ya hapo na tabia za mshi kuria mbeeee.....mnashare taratibu taratibu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…