#COVID19 Hali ya Covid Moshi ni mbaya sana watu wanakuputika balaa

#COVID19 Hali ya Covid Moshi ni mbaya sana watu wanakuputika balaa

Watu mnaishadidia corona utadhan ni ugonjwa mzuri wa kukumbatiwa halafu mnaua raia wasio na hatia kwan tuliwatuma muende huko kwenye maambukizi mengi mtuletee janga? Hasa wale mnaozurura duniani kwa kisingizio cha biashara na exposure.

Ooh hatutakubaliwa kusafiri kimataifa msxxxyuuuu zenu. Lissu kaleta korona wimbi la pili na la tatu huyo akatimka kufata la nne na la tano
 
Moshi hali ni mbaya sana watu wanakufa kwa covid sio mchezo.

Ni juzi tu hapo tumetoka kumzika bamkubwa alokufa kwa Covid leo jana na leo kuna misiba mingine tena.

Hapo napigiwa simu naambiwa mtaani kuna misiba minne mtaa wa pili misiba ipo sita.

Na wote hao ni covid isipokua mmoja tu.

Hali sio shwari kabisa watu wanakufa kwa kushindwa kupumua case za kufa kwa kushindwa kupumua ni nyingi sana huko Moshi hali ni tete.

Na misiba iliyoko kila kijiji na mitaa ni mingi mnoo huko moshi ni mwendo wa kuzika tu safari za kwenda Moshi kuzika zimeanza tena yaani hiki kirusi cha sasa ni balaa kinaua fasta nusu saa tu.

Hali ni mbaya sana huko Moshi.
Uliwapima?
 
Kwenye huu uzi kuna majinga aisee yanadhani nimepost kwamba mimi ni promoter wa chanjo yana akili kweli hayo majamaa?Yakikukuta ndo utajua yaanitaja

Kwenye huu uzi kuna majinga aisee yanadhani nimepost kwamba mimi ni promoter wa chanjo yana akili kweli hayo majamaa?Yakikukuta ndo utajua yaani
acha maneno mengi. taja hyo mitaa yenye misiba twende msibani. upumbavu ni kudalalia usiyoyajua. hamna mtaa moshi hapa wenye misiba sita pimbi wewe
 
Wewe ni mmoja wa team iliyopewa bando ili kurudisha hofu kwa watz juu ya uviko? Kama sio mmoja wao taja eneo au kijiji ambacho kina hiyo misiba 6. Tulioko moshi tuhakikishe. Sio vyema kushiriki kutia hofu wananchi
Jamaa hasemi uongo hali ni mbaya
 
Watu mnaishadidia corona utadhan ni ugonjwa mzuri wa kukumbatiwa halafu mnaua raia wasio na hatia kwan tuliwatuma muende huko kwenye maambukizi mengi mtuletee janga? Hasa wale mnaozurura duniani kwa kisingizio cha biashara na exposure.

Ooh hatutakubaliwa kusafiri kimataifa msxxxyuuuu zenu. Lissu kaleta korona wimbi la pili na la tatu huyo akatimka kufata la nne na la tano
Lissu ameingiaje hapa sasa? Au ndio MK unakuwasha?
 
Mod futeni huu ujinga ,tulishaukataa tokaa mwanzo ..

Watu wanakufa kwa hofu na ujinga ujinga wa walevi kama hawa
Kama Magufuli alivyokufa kwa hofu. Alikuwa anakebehi hivyo hivyo anasema korona ni hofu. Kunapokuwa na mlipuko wa kipundupindu kwa nini hamkatazi watu kusema kuna kipindupindu ili watu wasife kwa hofu.?
 
Back
Top Bottom