HALI YA HATARI Chit-Chat IMEKWISHA RUDINI JAMVINI SASA FULL KUJIACHIA!!

HALI YA HATARI Chit-Chat IMEKWISHA RUDINI JAMVINI SASA FULL KUJIACHIA!!

Blaki Womani my love, yule ding CHUAKACHARA unamuonaje wewe? Muda wote TA alikuwa anakukonyeza namuangalia tu, leo wasema ni bamkwe! NGASTUKA! Samaki ushapata?

ArushaOne jamani, hata sasa nikimuona siwezi kumkumbuka kusema kweli. Kukonyeza ningelikuwa naweza kumkumbuka. ArushaOne wewe si ni mwanangu, Blaki womani ni mke wako, basi mimi ni mkaza mwana wangu, au nimechanganya mambo.
 
Back
Top Bottom