Mkuu soon naja arusha....lazima tufanye fujo.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
samahani hivi kilitokea nini kwani?
He! ndetichia pin ya nini unaulizia kwa charminglady?
Mambo Rich woman!
usishangae ntakuelewesha vizuri kuhusu pini hiyo ni kwaajili ya kufunga kwenye nywele haswa wakati wa shuguli muhimu mengine ntakuelewesha taratibu maana hutakiwi kujua sana....
Orait kumbe Rich woman! Nimestkia!