HALI YA HATARI Chit-Chat IMEKWISHA RUDINI JAMVINI SASA FULL KUJIACHIA!!

HALI YA HATARI Chit-Chat IMEKWISHA RUDINI JAMVINI SASA FULL KUJIACHIA!!

Last edited by a moderator:
namshukuru Mungu sasa mambo ni sawasawa japo lazima kuwa makini maana siku zote kikulacho ki nguoni mwako na adui wa kwanza ni yule wa nyumbani mwako..wakati mwingine unaweza ukasema uko salama lakini si salama sana ila gurudumu la CC linaendelea kusonga
 
Heshima kwake Mkwe wangu. ....kuliko unavyojipenda! Hii kali huna tofauti na Yesu kutoa uhai wake kwa ajili ya anadamu (kwa imani ya wakristo)

mtu hutambuliwa kwa matendo yake.............maneno matendo ziro
 
mie ndiyo nilihama kabisaaaaaaa! nangoja muhuri mkononi kuhakikishiwa usalama!
 
Back
Top Bottom