Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Heheh mbona itakuwa kasheshe humu ndani??si ajabu ukasikia watu8 ndio kiperemende hahahah!!!!
Heheh mbona itakuwa kasheshe humu ndani??si ajabu ukasikia watu8 ndio kiperemende hahahah!!!!
Ndivyo ilivyo Mzee chuaKARA!
hivi upo?? nimekumiss ujue! sikusomi kabisaaaaa, au na wewe ulikimbizwa ka mimi??Arushaone bado bado bana may be kwenye alhamisi hivi ndo nitakuwa mjini
Safi sana aise mwambie Erickb52 tunamtafuta sana aise na member wajue kuwa amani imerudi humu maana ilikuwa balaa watu hatujiamini kabisa kuwepo humu
Copy kwa Mungi, PakaJimmy, Mzee wa Rula, Preta, Madame B , Blaki Womani, Filipo, watu8, Judgment@
mie ndiyo nilihama kabisaaaaaaa! nangoja muhuri mkononi kuhakikishiwa usalama!
Paka katoka...sasa ni wakati.wa panya kutawala!!!
Mzungumndali.
usisahau kuniletea samaki wabichi braza mtiifu .......
mzima kabisa nimekumiss sana uncle vipi TA samaki vibua hawajambo
mie nakupenda hadi kumoyo
Copy Rich woman
Watabebeka kweli yf Blaki Womani? Ngoja Mr Rocky aje akujibu. Ila ingekuwa gari la Vin Diesel lingefikisha bila kutoa shombo.