Hahahahaasmajambazi ni watoto wadogo sana kuweza kumvamia kila mtu niamini mimi faida za hao vichaa kutwangana ni kubwa sana kwetu kuliko hasara harafu mazingira hayawezi kuharibika sana kama yanavyoharibiwa na viwanda huko China kwahiyo wewe kaa standby ukisikia kagame kalianzisha wahi rusumo na kabanga fasta kwaajili ya zoezi la kuchota pesa za burebure
mkuu bado tu?Nipo kwenye matope mara moja ngoja nikaoge kwanza nitarudi
Kalipwa afanye propaganda; nadhani malipo yalikiwa kiduchu ndo maana imakini aliuacha kigali kwa mlipajiTulia halafu uandike kwa mpangilio.
Siyo unavyoona wewe kuna kitu nyuma ya pazia ambacho PK hueanda akaangushwa na Burundi nkurunziza siyo Kama unavyomzania Yule ni mlokole aliyejipanga ndiyo maana unaona hahudhurii vikao vya jumuia ya EAC Unajua Kwanini!Burundi haiwezi kua tishio kwa Rwanda hata siku moja. Na wakitaka nchi yao iwe na utulivu waachane na Rwanda. PK kumkabili inahitaji akili kubwa ambayo Nkurunziza hana.
Tambua tu kuwa hata watoto wa mama mmoja hupiganaHizo ni propaganda za Rwanda ili apate kisingizio cha kupigana na Burundi, Kagame anataka aweke utawala wake. Hafu Wanyarwanda na Warundi ni jamii moja vita vya nn?
Mkuu acha kuota.hakuna hata kimoja walicho tupita labda unge nmbia ni nchi inayo kuja kwa Kasi katika nyanja hizo.kitu kama intejensia kina hitaji msingi imara ambao Rwanda hanaNdiyo maana ninatamani Rwanda iivamie kijeshi Burundi ili huo uzoefu wa kivita walionao tuuone. Hakika Rwanda walipovaa magwanda wakajiita M23 tuliiona shughuli yao. Kweli Rwanda ni hatari kijeshi, kiuchumi na kiintelijensia kuliko nchi yoyote Afrika ya mashariki!
Mkuu tuko pamoja, post yangu imewabeza Rwanda na si vinginevyo!Mkuu acha kuota.hakuna hata kimoja walicho tupita labda unge nmbia ni nchi inayo kuja kwa Kasi katika nyanja hizo.kitu kama intejensia kina hitaji msingi imara ambao Rwanda hana
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa ushahidi kidogo ueleweke.mapenz na ushabiki uviache pembeni.tuambie umetumia kigezo gn kutoa hayo maoni yako?? Km ni ushabiki na mapenz useme.Burundi haiwezi kua tishio kwa Rwanda hata siku moja. Na wakitaka nchi yao iwe na utulivu waachane na Rwanda. PK kumkabili inahitaji akili kubwa ambayo Nkurunziza hana.
Huo ndio ukweli wa kweli kw mwenye ufahamu.Ndugu angalia mfano wa vita ya Elitiria na Ethiopia ( upo kwenye top 10 ya majeshi imara afrika )
Ubora wa Ethiopia hata haukuonekana kabisa Burns vs Rwnd kila 1 ana marafiki na mbaya mimi naonaona kagame ana maadui wengi kwasababu ya uchokozi wake MF:Uganda , DRC n.k
ndio bila makomando wao hatari wasiopigika M-23kwahiyo Majeshi yote ya Rwanda yatarudi Rwanda?