Hali ya hewa Arusha ni baridi sana leo

Hali ya hewa Arusha ni baridi sana leo

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Nimekuja jana ila leo hali inatisha sana. Yaani kuna baridi kiasi cha kwamba unatamani usitoke room katika hotel niliyofikia.

Wenyeji huwa mnakabiliana na hali hii kwa mbinu zipi wazee?

79EF8815-AF39-42C7-9AA7-F70FAE9A7616.jpeg
 
Mi hadi nimezoea,, Kuna baridi balaa, halafu baridi baya la kupausha ngozi
 
Kilimanjaro kuna wakati mpaka mifupa inauma mnoo.... Hakukaliki midnight joto linafika sometimes 12⁰C au 10⁰C
SmartLauncher_03062022125517.jpg
 
Mkuu baridi unalijua au unalisikia, hapo Arachuga kuna baridi kweli.....umewahi kukaa mji mmojawapo kule kwa mabeberu au kule kwa Putin hasa kipindi ambacho wao wanaita winter, mbona utaimba hadi korodani zote zinaingia tumboni.
 
Back
Top Bottom