Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
- Thread starter
- #21
Mbona unaleta story za kufikirika?Mkuu baridi unalijua au unalisikia, hapo Arachuga kuna baridi kweli.....umewahi kukaa mji mmojawapo kule kwa mabeberu au kule kwa Putin hasa kipindi ambacho wao wanaita winter, mbona utaimba hadi korodani zote zinaingia tumboni.