Hali ya hewa Arusha ni baridi sana leo

Vp mnalitaka joto sasa

Ova
 
Mi hadi nimezoea,, Kuna baridi balaa, halafu baridi baya la kupausha ngozi
 
Kilimanjaro kuna wakati mpaka mifupa inauma mnoo.... Hakukaliki midnight joto linafika sometimes 12⁰C au 10⁰C
 
Mkuu baridi unalijua au unalisikia, hapo Arachuga kuna baridi kweli.....umewahi kukaa mji mmojawapo kule kwa mabeberu au kule kwa Putin hasa kipindi ambacho wao wanaita winter, mbona utaimba hadi korodani zote zinaingia tumboni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…