Christopher Wallace JF-Expert Member Joined Dec 8, 2015 Posts 1,479 Reaction score 3,788 Jun 7, 2022 Thread starter #21 Nyumisi said: Mkuu baridi unalijua au unalisikia, hapo Arachuga kuna baridi kweli.....umewahi kukaa mji mmojawapo kule kwa mabeberu au kule kwa Putin hasa kipindi ambacho wao wanaita winter, mbona utaimba hadi korodani zote zinaingia tumboni. Click to expand... Mbona unaleta story za kufikirika?
Nyumisi said: Mkuu baridi unalijua au unalisikia, hapo Arachuga kuna baridi kweli.....umewahi kukaa mji mmojawapo kule kwa mabeberu au kule kwa Putin hasa kipindi ambacho wao wanaita winter, mbona utaimba hadi korodani zote zinaingia tumboni. Click to expand... Mbona unaleta story za kufikirika?