Hali ya hewa itakavyokuwa kuanzia leo saa 3 usiku mpaka saa 7 usiku

Hali ya hewa itakavyokuwa kuanzia leo saa 3 usiku mpaka saa 7 usiku

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
Natabiri kuanzia saa 3 usiku wa leo, wale nzi na vyura wa kijani popote pale hapa nchini, watakuwa kimya huku wale ngedere na simba wekundu wakipiga kelele za hapa na pale. Wakishangilia wenzao wakipata kipigo na mateso makali kama yale ya Yesu msalabani toka kwa Masandawani.

Natabiri. kuanzia saa 5 usiku. Vyura na nzi wa kijani watapaaza sauti nyingi zinazoambatana na harufu mbaya toka midomoni mwao wakishangilia mnyama simba akila kipigo cha mbwa koko na mateso makali mithili ya mhanga aliyefumaniwa huko somalia au yemen.

Noise popullation itakuwa kwa kiwango cha juu huku asilimia kubwa ya watu wanaioshi mijini wakilala kuanzia saa 8 usiku. Kelele zitaendelea kwa muda wa wiki nzima.
1698828249198.jpg
 
Ukiunganisha Simba na Yanga zishinde zote leo, 5000 x 56 = 280,000. Jumla odds 56😅, uwezekano wa yeyote kutoboa ni mdogo, kilichobakia ni kuzodoana tu kama watoto wa Mtakuja Primary school.
Kama wewe ni mdau wa betting. Chukua hii.
Sundown total goals O 1.5 ina 1.61
Al ahly total gal O 1.5 ina 1.50.

Simba hapati goal wala yanga hapati goal.
 
Back
Top Bottom