Matumizi mabaya ya mbususu hayoJamani asubuh kulikua jua. Ila huwezi amin ilipofika sa 8 wingu zito mara mvua hii hapa.
Hata TMA hawajatupa tahadhari kuna kiubaridi haswaa. Jamani vaeni masweta na miguun tupia tusoksi mana tiles zinatia ubarid.
Koroga kahawa au chai ya tangawizi kaa nayo pembeni kama una mzgo wa series huu ndo muda ss.
Usiwe kama Equation x angeshatafuta pisi ya kuzagamua au mzabzab anawaza kuita watoto wa watu.
Saa zingine kuspend time alone kuna karaha kake. Mi nipo na series ya Citadel hapa karibuniπ
Shanga na vikuku na ka figure nimechanganyikiwa kabisaa.. umeona vi mafuta vya nazi hapo kwa ajiri ya kazi ya massage π πHaha chakula on waitingπ
Njoo na flashTunafanyaje unirushie hiyo Series?
Hapa mzeya sii unakojowa ubongoπKambua na hii ndio vinaenda πView attachment 2676329View attachment 2676328
Nmekula soksi zinafika gotinOh so mpaka sasa unasikia baridi binti mrembo New Gal in town?
Sitaki kuongea mengi mkuu ila hayo ni maandalizi tosha yakukusahaulisha na stresses zote na mkataba wa DP WorldπππShanga na vikuku na ka figure nimechanganyikiwa kabisaa.. umeona vi mafuta vya nazi hapo kwa ajiri ya kazi ya massage π π
Hata sinzamanzese mvua inanyesha
Nije wapi sasa . Nipe uelekeo.Njoo na flash
katako hakoo mie najua ntavyokutumia mzeee... si umeona na mafuta ya nazi.. alafu mtoto anakula dompooo... π π π π ...Hapa mzeya sii unakojowa ubongoπ
Dar mvua kdg folen kama yote. Sio nyie mnatumia barabara moja na mifugoMbona mikoani hatujali? Kwani huko dar hamtakiwi kulowana? Sababu? Make up au?
Kuna kubwa kuliko DP World lajaa... π π π muanze jiandaa kisaikolojiaa tuSitaki kuongea mengi mkuu ila hayo ni maandalizi tosha yakukusahaulisha na stresses zote na mkataba wa DP Worldπππ
sasa hapo wivuWivu tu
M nakula korosho na minute maid ya embeHali kama hii, unajifungia ndani busy na series huku ukisindikizia na hanson's choice uloimix na azam ukwaju taratiib, unashusha episode tu.
Etymologically:Nini maana ya kutabiri kwanza? It's all about something that might happen or might not.
Sio kweli bwanaMatumizi mabaya ya mbususu hayo
kesho haifikagiMkuu na wewe ni taifa la kesho?
Nafsi huwa haidanganyiππwewe wasema
Naomba location basi, napenda sana korosho mimiM nakula korosho na minute maid ya embe
Sawa sawa.. ndio maana mnadekaDar mvua kdg folen kama yote. Sio nyie mnatumia barabara moja na mifugo