Matumizi mabaya ya mbususu hayoJamani asubuh kulikua jua. Ila huwezi amin ilipofika sa 8 wingu zito mara mvua hii hapa.
Hata TMA hawajatupa tahadhari kuna kiubaridi haswaa. Jamani vaeni masweta na miguun tupia tusoksi mana tiles zinatia ubarid.
Koroga kahawa au chai ya tangawizi kaa nayo pembeni kama una mzgo wa series huu ndo muda ss.
Usiwe kama Equation x angeshatafuta pisi ya kuzagamua au mzabzab anawaza kuita watoto wa watu.
Saa zingine kuspend time alone kuna karaha kake. Mi nipo na series ya Citadel hapa karibuni😘