Hali ya hewa leo Dar

Hali ya hewa leo Dar

Jamani asubuh kulikua jua. Ila huwezi amin ilipofika sa 8 wingu zito mara mvua hii hapa.

Hata TMA hawajatupa tahadhari kuna kiubaridi haswaa. Jamani vaeni masweta na miguun tupia tusoksi mana tiles zinatia ubarid.
Koroga kahawa au chai ya tangawizi kaa nayo pembeni kama una mzgo wa series huu ndo muda ss.

Usiwe kama Equation x angeshatafuta pisi ya kuzagamua au mzabzab anawaza kuita watoto wa watu.
Saa zingine kuspend time alone kuna karaha kake. Mi nipo na series ya Citadel hapa karibuni😘
Matumizi mabaya ya mbususu hayo
 
Shanga na vikuku na ka figure nimechanganyikiwa kabisaa.. umeona vi mafuta vya nazi hapo kwa ajiri ya kazi ya massage 😅😅
Sitaki kuongea mengi mkuu ila hayo ni maandalizi tosha yakukusahaulisha na stresses zote na mkataba wa DP World😆😆🙌
 
Hali kama hii, unajifungia ndani busy na series huku ukisindikizia na hanson's choice uloimix na azam ukwaju taratiib, unashusha episode tu.
M nakula korosho na minute maid ya embe
 
Back
Top Bottom