financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
๐๐ Sawa mtoa assistMtoa assist hauwawi, siku zote ye ni mjengaji na si mbomoaji๐๐
Njoo huku tuangalie hiki kitu. Hakika hautajuta mrembo New Gal๐๐Mwanang imeisha hapa sielew inabd nirudie
Kumbe kuna watu wengine unataka kuwapa madesa๐๐๐ ๐ ๐ ๐ ๐ .... hii simu ina auto writing... ime ji correct jina vibaya badala ya financial services imeandika jina la shemeji new gal ๐ ๐
๐ ๐ ๐ .. nina madesa kwa ajiri yako tuKumbe kuna watu wengine unataka kuwapa madesa๐๐
Kwahiyo kuanzia leo naikutanisha mikono yenu kujenga kilichobora kabisa kati yako na wimbo wa taifa๐๐๐ Sawa mtoa assist
Mshenga kakubamba unampa mtu mwingine desa๐ ๐ ๐ .. nina madesa kwa ajiri yako tu
๐ ๐ ๐ imekuwa sealed kabisa na muhuri wa motoKwahiyo kuanzia leo naikutanisha mikono yenu kujenga kilichobora kabisa kati yako na wimbo wa taifa๐
New Couple in town weraaaaa๐คธ๐น
Atakayetaka kuingilia hapa niambieni, nitatumia mamlaka yangu kumsambaratisha๐
We muache tu, anadhani labda hauna jicho la tatu๐๐Mshenga kakubamba unampa mtu mwingine desa
It has already been documented hiyo๐๐ ๐ ๐ imekuwa sealed kabisa na muhuri wa moto
Akikuona mke wake shauri yako, mi sihusiki๐๐โโ๏ธKwahiyo kuanzia leo naikutanisha mikono yenu kujenga kilichobora kabisa kati yako na wimbo wa taifa๐
New Couple in town weraaaaa๐คธ๐น
Atakayetaka kuingilia hapa niambieni, nitatumia mamlaka yangu kumsambaratisha๐
๐ ๐ mbona huyo ni mtu wa mshenga mwenyewe.. simu tu ili type vibayaa .. badala jina lako ika jump hadi jina la shemMshenga kakubamba unampa mtu mwingine desa
mke gani tena jamanii ๐ financial servicesAkikuona mke wake shauri yako, mi sihusiki๐๐โโ๏ธ
Hajaoa bhana wimbo wa taifa, kabla sijakuwa mtoa assist nilijiridhisha kwa kuongea na majirani kwanza kumsoma tabia yake mpaka ka wazazi kule Matombo ili nisije nikakuweka katika mikono ambayo utateseka. Hapo umefika yaani ni sawa na Ile kujisemea moyoni "NOW I FIND THE RIGHTONE"๐๐Akikuona mke wake shauri yako, mi sihusiki๐๐โโ๏ธ
Hapo chacha๐๐mke gani tena jamanii ๐ financial services
Ahaaa why auto isitype jina lingine ila hilo tuu๐๐ ๐ mbona huyo ni mtu wa mshenga mwenyewe.. simu tu ili type vibayaa .. badala jina lako ika jump hadi jina la shem
Ninaitwa Alone as my middle name....Saa zingine kuspend time alone kuna karaha kake. Mi nipo na series ya Citadel hapa karibuni๐
Hahaha๐๐Ahaaa why auto isitype jina lingine ila hilo tuu๐
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wa dar bwana, hili suala nalo ni la kulaumu TMA? Mnataka kila muda mpewe uangalizi kama vifaranga vya bata vyenye masundosundo
๐ ๐ ๐ sasa niamini tu.. hakuna namna ingineAhaaa why auto isitype jina lingine ila hilo tuu๐
Haa unamkana eehmke gani tena jamanii ๐ financial services