Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Kwanza hao TMA wanatabiri au wanaotea? Hawjawahi kuwa accurate hata siku moja ndio maana hili limewapita shwaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumba zote za wageni zitakuwa zimejaaHapo kwenye Mizigo hapo...Ngoja waje wenye Mambo yao tuwasikie...Wapo wapi saa hizi, na wanafanya nini kutoa baridi??? Jamani Mkuje huku...Mnaitwa...
Tuliosoma Cuba tunasema " Bird nears the cage, the door is open"😊😊Wale wa CUBA kwa Pole Pole... Ama?
Aisee...Hakuna binadamu anayependa kukaa pekee yake, sema ni shida tu za kidunia; mrembo kama wewe unatakiwa kukumbatiwa, kukisiwa n.k. Ningekuwa karibu ningekuja kukupa kampani.
Nini maana ya kutabiri kwanza? It's all about something that might happen or might not.Kwanza hao TMA wanatabiri au wanaotea? Hawjawahi kuwa accurate hata siku moja ndio maana hili limewapita shwaaa
kula hayo mawazo😂Yaaani haka kamvua nimeweka miguu ju utasema nna hela 😀😀
Naangalia zangu movie nawaza ningepata na kijikitimoto aah weeee
Hivyo havitoi baridi, kinachotoa baridi ni popo kafanyaje sijui..Yaaani haka kamvua nimeweka miguu ju utasema nna hela 😀😀
Naangalia zangu movie nawaza ningepata na kijikitimoto aah weeee
Mkuu na wewe ni taifa la kesho?haka kahali kanashawishi dhambi ila katapita
HahaaaaaMfuate mkaangalie wote......
😀😀wewe wasemaHivyo havitoi baridi, kinachotoa baridi ni popo kafanyaje sijui..
Wivu tukula hayo mawazo😂
Kuwa alone ni sentensi tata.Amesema anataka kuwa alone.
Wakurungwa mnawaza mbali,Hahaha wakurungwa tushakuelewa[emoji1787][emoji1787]
Kambua na hii ndio vinaenda 😊View attachment 2676329View attachment 2676328
Tunawalipa mshahara hajawekwa pale wacheze zuma deluxeWatu wa dar bwana, hili suala nalo ni la kulaumu TMA? Mnataka kila muda mpewe uangalizi kama vifaranga vya bata vyenye masundosundo