Hali ya hewa ya Dodoma imenishinda

Ushauri wa bure[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watanzania hawajazoea changamoto, kwa kila kitu. Hata kazi wengi wanalalamika wakati nchi nyingine mtu anaona ufahari kufanya kazi. Mtanzania hata kusoma makala ndefu anaona ni adhabu. Chochote kile anataka ale au akipate kwa ulaini. NB: Sehemu kama Dodoma ukiwapa wazungu waishi kwa kutumia raslimali hii hii wakaazi wa Dodoma waliyonayo, baada ya miaka mitano itakuwa sehemu nyingine kabisa.
 
Watu kama hawa ndio wanafanya nchi usiendelee kutwa kulalamika hata vitu vidogo.
 
Exactly, ingekuwa rahisi kwa nchi zilizoendelea......kwa sisi pwagu na pwaguzi itachukua karne nzima kupafanya Dodoma pawe na hali ya hewa ya kuridhisha.
Kwahyo dar ndio kuna hali ya hewa ya kuridhisha ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…