wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Mimi nilipigwa na baridi tena ya kufa mtu,hayo mambo ya upepo siyajui.Tatizo siyo baridi..tatizo ni baridi kavu...soma vzuri uzi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilipigwa na baridi tena ya kufa mtu,hayo mambo ya upepo siyajui.Tatizo siyo baridi..tatizo ni baridi kavu...soma vzuri uzi..
Kwa kweli sisi wazawa wa hapa baridi la msimu huu ni refu kama kimba la usiku.
Nakuunga mkono katika hili.Afu muda wote wamekunja ndita sababu ya vumbi
Ushauri wa bure[emoji23][emoji23][emoji23]Pole ndugu, karibu makao makuu yanchi
1. Usiogee sabuni za vipande meaning zile kama lux na aina zake, tumia sabuni za maji .
2. Nenda famasi esp. ya Nakiete barabara ya kwenda sabasaba nunua Bio oil for dry skin.
Jitahidi kusafisha pua zako kila siku maana vumbi hutalikosa.
Mapori ya kutoka pwani to Moro unayachikuliaje, au unarahisisha mambo?Morogoro Inaungana Na Dar Es Salaam
Kwanini umepakimbia Mkuu?Mi Iringa nimepakimbia pia, sitakuja kurudi tena mkoa huo... Ni moja ya mikoa nisiyokuja kurudia tena kwenda! Hovyo kabisa yaani
Vitu vingi tu vimenifanya nipakimbie! Hali ya hewa, mazingira ya utafutaji kwa watu wa hali za chini ni mgumu n.k... ila hasa hali ya hewa ndio imenishinda kabisa mkuu!Kwanini umepakimbia Mkuu?
Watanzania hawajazoea changamoto, kwa kila kitu. Hata kazi wengi wanalalamika wakati nchi nyingine mtu anaona ufahari kufanya kazi. Mtanzania hata kusoma makala ndefu anaona ni adhabu. Chochote kile anataka ale au akipate kwa ulaini. NB: Sehemu kama Dodoma ukiwapa wazungu waishi kwa kutumia raslimali hii hii wakaazi wa Dodoma waliyonayo, baada ya miaka mitano itakuwa sehemu nyingine kabisa.Yaani human beings karne ya 21 bado wanalalamikia weather ya eneo analotafutia hela zake na mali kama litoto lidogo la kindergarten?
Majitu yasiyojua yamekuja huku duniani kutafuta mali for themselves and their descendants
Bure kabisa yaani!
Watu wanatafuta hela North Pole na kwenye deserts huko,hawalalamiki,then mijinga fulani hivi ya TZ yapo tropican weather cunducive to anyone eti yanalalamika kama masichana
Fvck yall!
Dar kama ni mgeni utapata tabu sana! Juzi Kati nilienda nikitoka Iringa kwenye baridi + upepo Sasa nilipanda lakini Ile shida niliyopata nilitamani kushuka nitembee kwa miguu! Yaani kubanana, joto kukanyagana hatari.Bora Dodoma kuliko joto la Dar. Dar kuna lilie joto la kukaba unapata shida kuhema.
una pesa ya mafuta?? siongelei mafuta ya buku3Mkuu kisasa ni uswahilini?
Watu wana hasira pesa ngumu😁Nawakaribisha wote achaneni na maneno ya hovyo
Dodoma yetu ni nzuri
Watu kama hawa ndio wanafanya nchi usiendelee kutwa kulalamika hata vitu vidogo.Yaani human beings karne ya 21 bado wanalalamikia weather ya eneo analotafutia hela zake na mali kama litoto lidogo la kindergarten?
Majitu yasiyojua yamekuja huku duniani kutafuta mali for themselves and their descendants
Bure kabisa yaani!
Watu wanatafuta hela North Pole na kwenye deserts huko,hawalalamiki,then mijinga fulani hivi ya TZ yapo tropican weather cunducive to anyone eti yanalalamika kama masichana
Fvck yall!
Kwahyo dar ndio kuna hali ya hewa ya kuridhisha ?Exactly, ingekuwa rahisi kwa nchi zilizoendelea......kwa sisi pwagu na pwaguzi itachukua karne nzima kupafanya Dodoma pawe na hali ya hewa ya kuridhisha.
It seems so, wewe unaonaje?Kwahyo dar ndio kuna hali ya hewa ya kuridhisha ?
Mademu wa mbeya, iringa na njombe wana sura ngumu hatariPamoja na njaa, ukame lakini ni kati ya mikoa yenye mademu wazuri kuliko Mbeya, Iringa,Njombe.
Vyakula vingi havisaidii wanawake kuwa wazuri !
Kwa iyo wanatafuta pa kutolea stressWatu wana hasira pesa ngumu😁