Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Ila niwatamu usijaribu.Mademu wa mbeya, iringa na njombe wana sura ngumu hatari
Tatizo la Moro maji ni changamoto sana.[emoji23][emoji23] Tope jekundu la msimu na linavumilika na pia inategemea na eneo Hamieni Moro wakuu
Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app
Kwa habari ya maji ni kweli kuna muda yanasumbua japo sio sana mkuuTatizo la Moro maji ni changamoto sana.
Mzilankende Alikataa Asizikwe DodomaYule mwehu alikosea sana kuhamisha serikali na wao wakamkubalia tu kisa alikua kichaa, sasa wanaona kwamba haikuwa sahihi ndiomaana kila uchao wako Dar wamejazana wanapiga misele tu , ukiuliza eti wamekuja kutalii ili wasisahau mitaa ya jiji, kimsingi hakuna hata mmoja wa watumishi waliotaka kwenda kuugua trakoma huko ni wazimu tu wa mwendazake
hahaaha mimi sio wa dom mkuu usiniunganishe kwenye hilo kundi la kukunja ndita tafadhali..[emoji23][emoji23] Tope jekundu la msimu na linavumilika na pia inategemea na eneo Hamieni Moro wakuu
Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app
hahaahah unazingua mkuu..Hahahahah NANE NANE mkuu. Unakutana na mtu anaingia kwa gari na mbuzi wake.
Mitaa gani kwa hapo moro inafaa kuishi kwa mtu mwenye kipato cha kati?Kwa habari ya maji ni kweli kuna muda yanasumbua japo sio sana mkuu
Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app
Mwaka jana nimeishi nane nane,maji tatizo sana pale. Narudi hapo mwezi ujao,unanishauri nikaishi maeneo gani Mkuu.Kwa habari ya maji ni kweli kuna muda yanasumbua japo sio sana mkuu
Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app
Uko vizuri kitabiaNilikutana na demu mmoja kipindi cha nyuma!tena bus terminal pale arusha nilimuona tuu nikamfeel na ule uarabu wake wa kuchovya!!
Niliongea nae nikaona kaniamini tuu!!
Labda kwa jinsi y uonekano wangu.
Nikachukua namba yake wakati namshusha olasiti huko kwa shangazi yake!!
Nilizoeana nae sana ikawa namfata pale kwa shangazi yake namtoa out kwa gia ya kumuonyesha mji..
Nikawa najilia sana yule mtoto!!
Akarudi huko dodoma...
Akanipa mwaliko nikaenda.
Ptuuuuu...
Yaani ule mji ulinikinai hatari kwa ile hali ya hewa!
Msela kila siku naaga niondoke ila mtoto analalamika niendelee kubaki baki..
Alichoniuzi ni kwamba alinishawishi sana kwamba hapo dodoma baadae serikali itahamishiwa hapo hvyo kuna viwanja ninunue!
Kweli nilinunua kiwanja bei rahisi sana!
Akawa anashughulikia yeye hicho kiwanja mambo ya kukatia hati na mengineyo!!
Mwisho nilimuachia kile kiwanja kiwe chake!
Yule demu angekubali kuja kuishi nilipo ningemuoa!!
Lakini hakutaka kuondoka dodoma kbs nikapiga chini
Kaa maeneo ya Forest au kihonda hutojuta.Mwaka jana nimeishi nane nane,maji tatizo sana pale. Narudi hapo mwezi ujao,unanishauri nikaishi maeneo gani Mkuu.
Kihonda pako freshMitaa gani kwa hapo moro inafaa kuishi kwa mtu mwenye kipato cha kati?
[emoji23][emoji23] ila mziki wa kukunja ndita bila shaka ulikumbana nao unwillinglyhahaaha mimi sio wa dom mkuu usiniunganishe kwenye hilo kundi la kukunja ndita tafadhali..
Kwenye list yako ondoa moro wewe, usilinganishe Moro na siginda acha mazereu [emoji23][emoji23]Ukii dodoma ,moro,singida tegemea ngozi yako kuwa ovyo ovyo
Hi mikoa Hali zake za hewa na maji yake sio rafiki kabisa.
Watu wa pwani Wana ngozi nzuri sababu ya hali ya hewa na maji
Morogoro ni mkoa mzuri sana, fursa ni nyingi za pesa japo mzunguko ni mdogo sana wa pesa, na wakazi wa hapo wamezubazuba na wavivu sna.Kwenye list yako ondoa moro wewe, usilinganishe Moro na siginda acha mazereu [emoji23][emoji23]
Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app